Chadema imefikia bei hamna tena jambo apo, Mbowe heshi safari za Ikulu, Tundu Lissu sasa anafanya tours mara Tanzania mara Belgium, hawezi tena kuish Tz bila huko belgium kwenye maisha yakeNajua mpo chawa wa rais Samia na chawa wa rais Magufuli lakini, Rais Samia anaijua siasa kuliko rais Magufuli kwa kiwango kikubwa. Moja ya uthibitisho huo ni:-
1.Kuamua kufanya maridhiano na chama kikubwa cha upinzani chenye wafuasi wengi ambacho ni CHADEMA jambo ambalo rais Magufuli aliamini adui mkubwa na hatari kwa utawala wake ni CHADEMA hivyo kufanya nao maridhiano sio sahihi licha ya kuambiwa na kuombwa na mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe wakiwa Mwanza.
Mwanasiasa anayejua siasa na anayetaka kutawala kwa amani lazima ahakikishe ugomvi na adui yake unaepukika na hilo ndilo alilolifanya rais Samia
Rais Magufuli aliongeza chuki kwa CHADEMA kwa kuvuruga chaguzi
Kununua wabunge na madiwani wa CHADEMA akiamini ataiua CHADEMA ili atawale bila upinzani
Kuzuia mikutano ya hadhara akiamini CHADEMA hawataongea na wananchi kuwakamata viongozi wanachama na wafuasi wa CHADEMA na kuwabambikizia kesi na hata kuwafunga.
Leo rais Samia kupitia DPP wake anaziondoa kesi za kugushi na watuhumiwa wanatolewa magerezani
Rais Samia katimiza hitaji ya kikatiba kuruhusu mikutano ya vyama
Hakika rais Samia anajua siasa kuliko rais Magufuli.
Anayepinga apinge kwa hoja sio mihemuko..View attachment 2500074View attachment 2500077View attachment 2500079
Usimfananishe Samia na vitu vya hovyohovyo. Kwenye siasa Samia ni Profesa labda alinganishwe na Kikwette tu. Mkapa alikuwa ni reformer wakati Nyerere alikuwa ni Panafricanist. Magufuli alikuwa ni takataka tuNajua mpo chawa wa rais Samia na chawa wa rais Magufuli lakini, Rais Samia anaijua siasa kuliko rais Magufuli kwa kiwango kikubwa. Moja ya uthibitisho huo ni:-
1.Kuamua kufanya maridhiano na chama kikubwa cha upinzani chenye wafuasi wengi ambacho ni CHADEMA jambo ambalo rais Magufuli aliamini adui mkubwa na hatari kwa utawala wake ni CHADEMA hivyo kufanya nao maridhiano sio sahihi licha ya kuambiwa na kuombwa na mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe wakiwa Mwanza.
Mwanasiasa anayejua siasa na anayetaka kutawala kwa amani lazima ahakikishe ugomvi na adui yake unaepukika na hilo ndilo alilolifanya rais Samia
Rais Magufuli aliongeza chuki kwa CHADEMA kwa kuvuruga chaguzi
Kununua wabunge na madiwani wa CHADEMA akiamini ataiua CHADEMA ili atawale bila upinzani
Kuzuia mikutano ya hadhara akiamini CHADEMA hawataongea na wananchi kuwakamata viongozi wanachama na wafuasi wa CHADEMA na kuwabambikizia kesi na hata kuwafunga.
Leo rais Samia kupitia DPP wake anaziondoa kesi za kugushi na watuhumiwa wanatolewa magerezani
Rais Samia katimiza hitaji ya kikatiba kuruhusu mikutano ya vyama
Hakika rais Samia anajua siasa kuliko rais Magufuli.
Anayepinga apinge kwa hoja sio mihemuko..View attachment 2500074View attachment 2500077View attachment 2500079
Politics ndio Ina run economics..... Usipo manage political dynamics hata huo uchumi hautoweza Jenga. Mfano Trump kama angefanya "siasa" angeteua hata black kuwa waziri wa ulinzi n.k unadhani angepingwa?? Kwenye siasa it's all about image and perception sio "uhalisia". Mfano JK alilipa bunge la 9 meno Ili "litumbue mawaziri mzigo" bila yeye kuonekana "kawasaliti" wenzake.Tofauti ys magufuli na wapumbavu ni moja tu magufuli alikuwa anajenga uchumi wakati wapumbavu wanajenga siasa na kuua uchumi...swali ukiambiwe uchague kiongozi mwenye kuangaika na siasa au kiongozi mwenye kuangsikia uchumi utachagua nini ?
Mbali na kutojua siasa Magu pia alikuwa mjinga
Bila Ujinga Magufuli angeweza kutawala vizuri kuliko Samia, nafasi alikuwa nayo ya kuibadilisha Tanzania for good.Mtu mwenye akili asingeweza kufanya yale yaliyofanyika kwenye uchaguzi mkuu wa 2020.
Baada ya hapo unagundua umefanya ujinga unàanza kuhaha kununua akina Mdee.
Unasaga kunguni kwa jomba aisee!Kamzidi kilakitu kuhusu uongozi bora...
mama akiongea kingreza hadi raha yule jombii wa 'pipo yuzi tu dai inze inze inze inze reki' ilikua taaabu
Alikubalika wapi wewe? Kwa Mahera?Kiongozi wa kurithi wa mpito amzidi Rais aliyejinadi na kukubalika kwa wananchi kisiasa? Hahaha JF kuna utani sana.
Unaishi nchi gani?Alikubalika wapi wewe? Kwa Mahera?
Naaaam swadaqtaBali wanahitaji mtekaji ikulu.
JAHANNAMSamia ana akili na busara ndiyo maana nchi imetulia. Magufuli alikuwa na kichaa kilichomjaza HASIRA na KIBURI.
Aendelee kuungua na moto huko jehanam
Maridhiano na siasa zenu hajaweza kupunguza mfumuko wa bei za bidhaa, ukosefu wa ajira kwa vijana, kumaliza ufisadi,kutoa huduma bora za kijamii,kuondoa umasikini kwa watanzaniaNajua mpo chawa wa rais Samia na chawa wa rais Magufuli lakini, Rais Samia anaijua siasa kuliko rais Magufuli kwa kiwango kikubwa. Moja ya uthibitisho huo ni:-
1.Kuamua kufanya maridhiano na chama kikubwa cha upinzani chenye wafuasi wengi ambacho ni CHADEMA jambo ambalo rais Magufuli aliamini adui mkubwa na hatari kwa utawala wake ni CHADEMA hivyo kufanya nao maridhiano sio sahihi licha ya kuambiwa na kuombwa na mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe wakiwa Mwanza.
Mwanasiasa anayejua siasa na anayetaka kutawala kwa amani lazima ahakikishe ugomvi na adui yake unaepukika na hilo ndilo alilolifanya rais Samia
Rais Magufuli aliongeza chuki kwa CHADEMA kwa kuvuruga chaguzi
Kununua wabunge na madiwani wa CHADEMA akiamini ataiua CHADEMA ili atawale bila upinzani
Kuzuia mikutano ya hadhara akiamini CHADEMA hawataongea na wananchi kuwakamata viongozi wanachama na wafuasi wa CHADEMA na kuwabambikizia kesi na hata kuwafunga.
Leo rais Samia kupitia DPP wake anaziondoa kesi za kugushi na watuhumiwa wanatolewa magerezani
Rais Samia katimiza hitaji ya kikatiba kuruhusu mikutano ya vyama
Hakika rais Samia anajua siasa kuliko rais Magufuli.
Anayepinga apinge kwa hoja sio mihemuko..View attachment 2500074View attachment 2500077View attachment 2500079
Ulishawahi kutekwa au kuna ndugu au rafiki yako alishawahi kutekwa mtaani kwako je utekaji imekuathiri nini au ni propaganda zenu mnazitumia kumchafua MagufuliBali wanahitaji mtekaji ikulu.
Ipo siku nawe utaondoka Mungu katoa hii hukumu kwa wanadamu woteTunamshukuru Mungu kutuondolea yule mwovu kwenye uso wa dunia