Rais Samia anaingia kwenye kamati kuu ya CCM kama nani?

MdogoWenu

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2009
Posts
554
Reaction score
916
Wadau nijulisheni,

Samia Suluhu Hassan alikuwa anaingia kwenye Kamati Kuu ya CCM kama makamu wa rais enzi za John Magufuli. Sasa hana umakamu wa rais uliokuwa unamuingiza humo.

Nasema hivyo kwa sababu CCM Rais ni moja kwa moja ni mwenyekiti.

Hivyo Rais anapohudhuria vikao vya CCM haingii kwa nafasi nyingine bali anaingia kama mwenyekiti wa CCM.

Sasa Rais Samia siyo mwenyekiti wa CCM wala siyo tena makamu wa Rais.

Je, anaingia vikao vya kamati kuu kama nani?
 
Je anaingia vikao vya kamati kuu kama nani?
Yaani umeshindwa tu kujua kuwa hata kwa Kofia yake ile ile aliyokuwa nayo ya Umakamu Rais ( Mgombea Mwenza wa Rais ) ni kwamba 'automatically' anakuwa ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM?

Hivi Akili zenu huwa mnazipeleka wapi?
 
Si kweli kuwa ccm rais huwa anakuwa mwemyekiti moja kwa moja, zipo taratibu ambazo hufuatwa na kumchagua mwenyekiti ambaye hutokea kuwa ni rais. Na kwa utaratibu huo huo wale viongozi wakuu wa 3 wa serikali ya muungano, wa 2 wa serikali znz na maspika wa bunge na blw huwa wajumbe wa kk kwa nyadhifa zao, jambo hili halina limit kwa makamu tuu. JPM alihudhuria KK pindi alipoteuliwa tuu kuwa mgombea wetu wa urais na aliendelea kuhudhuria vikao hivyo kama mjumbe mpaka alipochaguliwa na wajumbe kuwa mwenyekiti wa chama, imekuwa hivyo wakati wote na ndipo rais Samia alipopata uhalali hapo. Naye ndiye atakuwa mwenyekiti wetu hivi karibuni.
 
Wadau nijulisheni,

Samia Suluhu Hassan alikuwa anaingia kwenye Kamati Kuu ya CCM kama makamu wa rais enzi za John Magufuli. Sasa hana umakamu wa rais uliokuwa unamuingiza humo.

Nasema hivyo kwa sababu CCM Rais ni moja kwa moja ni mwenyekiti.

Hivyo Rais anapohudhuria vikao vya CCM haingii kwa nafasi nyingine bali anaingia kama mwenyekiti wa CCM.

Sasa Rais Samia siyo mwenyekiti wa CCM wala siyo tena makamu wa Rais.

Je, anaingia vikao vya kamati kuu kama nani?
Umesahau kwamba CCM imebobea kwenyw uvunjifu wa katiba ya chama pamoja na ya nchi kwa ujumla
 
Yaani umeshindwa tu kujua kuwa hata kwa Kofia yake ile ile aliyokuwa nayo ya Umakamu Rais ( Mgombea Mwenza wa Rais ) ni kwamba 'automatically' anakuwa ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM?

Hivi Akili zenu huwa mnazipeleka wapi?
Yaaani watu wanashindwa kuelewa mambo rahisi sana

Kama Spika,Waziri mkuu, Makamu wa Rais wanaingia automatic kwanini asiingie Rais hata kabla hajawa Mwenyekiti??

Halafu kwa taarifa yako hata JK alipokua anamuachia JPM uenyekiti tayar JPM alishakua member kwa kofia ya urais

Kitu kingine pia unaweza kuingia kwa "kualikwa" hata JK na Karume juzi waliingia kwa kualikwa/kuhitajika
 
Unaniambia, Unanielekeza au Unanisuta?
 
Wadau nijulisheni,

Samia Suluhu Hassan alikuwa anaingia kwenye Kamati Kuu ya CCM kama makamu wa rais enzi za John Magufuli. Sasa hana umakamu wa rais uliokuwa unamuingiza humo.

Nasema hivyo kwa sababu CCM Rais ni moja kwa moja ni mwenyekiti.

Hivyo Rais anapohudhuria vikao vya CCM haingii kwa nafasi nyingine bali anaingia kama mwenyekiti wa CCM.

Sasa Rais Samia siyo mwenyekiti wa CCM wala siyo tena makamu wa Rais.

Je, anaingia vikao vya kamati kuu kama nani?
Kasome katiba ya ccm then Uje kupost na wengine. Mbona hujamtaja Hussein mwinyi, Dr mpango, majaliwa, ndugai na Abdullah makamu wa pili Znz
 
Yaaani watu wanashindwa kuelewa mambo rahisi sana

Kama Spika,Waziri mkuu, Makamu wa Rais wanaingia automatic kwanini asiingie Rais hata kabla hajawa Mwenyekiti??

Halafu kwa taarifa yako hata JK alipokua anamuachia JPM uenyekiti tayar JPM alishakua member kwa kofia ya urais

Kitu kingine pia unaweza kuingia kwa "kualikwa" hata JK na Karume juzi waliingia kwa kualikwa/kuhitajika
Hahahaaa nakazia hoja yako. Comment intended to OP
 
Yaani umeshindwa tu kujua kuwa hata kwa Kofia yake ile ile aliyokuwa nayo ya Umakamu Rais ( Mgombea Mwenza wa Rais ) ni kwamba 'automatically' anakuwa ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM?

Hivi Akili zenu huwa mnazipeleka wapi?
Mkuu hapa Ujiji tumebakisha 2 Hours kuftur... vumilia kidogo

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Unaniambia, Unanielekeza au Unanisuta?
mm naona kama umesutwa hapo[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Back
Top Bottom