Yaani umeshindwa tu kujua kuwa hata kwa Kofia yake ile ile aliyokuwa nayo ya Umakamu Rais ( Mgombea Mwenza wa Rais ) ni kwamba 'automatically' anakuwa ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM?Wadau nijulisheni,
Samia Suluhu Hassan alikuwa anaingia kwenye Kamati Kuu ya CCM kama makamu wa rais enzi za John Magufuli. Sasa hana umakamu wa rais uliokuwa unamuingiza humo.
Nasema hivyo kwa sababu CCM Rais ni moja kwa moja ni mwenyekiti.
Hivyo Rais anapohudhuria vikao vya CCM haingii kwa nafasi nyingine bali anaingia kama mwenyekiti wa CCM.
Sasa Rais Samia siyo mwenyekiti wa CCM wala siyo tena makamu wa Rais.
Je anaingia vikao vya kamati kuu kama nani?
Mkuu punguza jazba, mwezi wa mfungo huu😁😁Huyu ni mwanaccm sio kuingia tu na atatoka akiwa Mwenyekiti wa taifa wa CCM
Mkuu hapa Ujiji tumebakisha 2 Hours kuftur... vumilia kidogoHuyu ni mwanaccm sio kuingia tu na atatoka akiwa Mwenyekiti wa taifa wa CCM
Umesahau kwamba CCM imebobea kwenyw uvunjifu wa katiba ya chama pamoja na ya nchi kwa ujumlaWadau nijulisheni,
Samia Suluhu Hassan alikuwa anaingia kwenye Kamati Kuu ya CCM kama makamu wa rais enzi za John Magufuli. Sasa hana umakamu wa rais uliokuwa unamuingiza humo.
Nasema hivyo kwa sababu CCM Rais ni moja kwa moja ni mwenyekiti.
Hivyo Rais anapohudhuria vikao vya CCM haingii kwa nafasi nyingine bali anaingia kama mwenyekiti wa CCM.
Sasa Rais Samia siyo mwenyekiti wa CCM wala siyo tena makamu wa Rais.
Je, anaingia vikao vya kamati kuu kama nani?
Yaaani watu wanashindwa kuelewa mambo rahisi sanaYaani umeshindwa tu kujua kuwa hata kwa Kofia yake ile ile aliyokuwa nayo ya Umakamu Rais ( Mgombea Mwenza wa Rais ) ni kwamba 'automatically' anakuwa ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM?
Hivi Akili zenu huwa mnazipeleka wapi?
Watu kama Hawa ni kumkabidhi KaseselaYaani umeshindwa tu kujua kuwa hata kwa Kofia yake ile ile aliyokuwa nayo ya Umakamu Rais ( Mgombea Mwenza wa Rais ) ni kwamba 'automatically' anakuwa ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM?
Hivi Akili zenu huwa mnazipeleka wapi?
Unaniambia, Unanielekeza au Unanisuta?Yaaani watu wanashindwa kuelewa mambo rahisi sana
Kama Spika,Waziri mkuu, Makamu wa Rais wanaingia automatic kwanini asiingie Rais hata kabla hajawa Mwenyekiti??
Halafu kwa taarifa yako hata JK alipokua anamuachia JPM uenyekiti tayar JPM alishakua member kwa kofia ya urais
Kitu kingine pia unaweza kuingia kwa "kualikwa" hata JK na Karume juzi waliingia kwa kualikwa/kuhitajika
Kasome katiba ya ccm then Uje kupost na wengine. Mbona hujamtaja Hussein mwinyi, Dr mpango, majaliwa, ndugai na Abdullah makamu wa pili ZnzWadau nijulisheni,
Samia Suluhu Hassan alikuwa anaingia kwenye Kamati Kuu ya CCM kama makamu wa rais enzi za John Magufuli. Sasa hana umakamu wa rais uliokuwa unamuingiza humo.
Nasema hivyo kwa sababu CCM Rais ni moja kwa moja ni mwenyekiti.
Hivyo Rais anapohudhuria vikao vya CCM haingii kwa nafasi nyingine bali anaingia kama mwenyekiti wa CCM.
Sasa Rais Samia siyo mwenyekiti wa CCM wala siyo tena makamu wa Rais.
Je, anaingia vikao vya kamati kuu kama nani?
Hahahaaa nakazia hoja yako. Comment intended to OPYaaani watu wanashindwa kuelewa mambo rahisi sana
Kama Spika,Waziri mkuu, Makamu wa Rais wanaingia automatic kwanini asiingie Rais hata kabla hajawa Mwenyekiti??
Halafu kwa taarifa yako hata JK alipokua anamuachia JPM uenyekiti tayar JPM alishakua member kwa kofia ya urais
Kitu kingine pia unaweza kuingia kwa "kualikwa" hata JK na Karume juzi waliingia kwa kualikwa/kuhitajika
Huyu ni mwanaccm sio kuingia tu na atatoka akiwa mwenyekiti wa taifa wa ccm kama hutaki kamtafute mamako aingie na yeye
Yaani umeshindwa tu kujua kuwa hata kwa Kofia yake ile ile aliyokuwa nayo ya Umakamu Rais ( Mgombea Mwenza wa Rais ) ni kwamba 'automatically' anakuwa ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM?
Hivi Akili zenu huwa mnazipeleka wapi?
Mkuu hapa Ujiji tumebakisha 2 Hours kuftur... vumilia kidogo
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
mm naona kama umesutwa hapo[emoji38][emoji38][emoji38]Unaniambia, Unanielekeza au Unanisuta?
Jibu sahihi kabisaHuyu ni mwanaccm sio kuingia tu na atatoka akiwa mwenyekiti wa taifa wa ccm kama hutaki kamtafute mamako aingie na yeye
Jibu sijalipenda lakini umemjibu baarabara huyu jamaa hadi nimecheka.Huyu ni mwanaccm sio kuingia tu na atatoka akiwa mwenyekiti wa taifa wa ccm kama hutaki kamtafute mamako aingie na yeye