Rais Samia anaingia kwenye kamati kuu ya CCM kama nani?

Huyu ni mwanaccm sio kuingia tu na atatoka akiwa mwenyekiti wa taifa wa ccm kama hutaki kamtafute mamako aingie na yeye
Mama yake anahusika vipi sasa katika swali alilouliza? Kuwa muungwana mkuu. Man Up bro.

Nyie ndio mnafanya siasa yote ionekane imejaa watu wa hovyo.
 
Naunga mkono hoja.
Katiba ya CCM inasema [emoji116][emoji116][emoji116]
 
Mama yake anahusika vipi sasa katika swali alilouliza? Kuwa muungwana mkuu. Man Up bro.

Nyie ndio mnafanya siasa yote ionekane imejaa watu wa hovyo.
Huyo ni mwana CCM mwenzenu anamtusi mama wa mwenzake
 
Huyu ni mwanaccm sio kuingia tu na atatoka akiwa mwenyekiti wa taifa wa ccm kama hutaki kamtafute mamako aingie na yeye
Mjibu aliyeuliza swali habari ya mzazi wake achana nayo
 
Wewe waache wenyewe wewe yanakuhusu nini? Na ninyi mwalikeni Lowasa kwenye kamati kuu ya Chama chenu!
 

Ukisoma katiba ya chama cha mapinduzi, toleo la mwaka 2005 kwenye ibara ya 109(b)

Inataja mojawapo ya wajumbe wa kamati kuu ya halmashauri kuu ya CCM taifa ni Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania na makamu wa Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania anayetokana na chama cha mapinduzi

Kwa hiyo punde tu, mwana CCM anapokuwa Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania, automatically anakuwa ni mjumbe wa kamati kuu ya halmashauri kuu ya CCM taifa

Na hiyo sio kwa Rais tu, bali pia na viongozi wengine wakuu wa kisiasa wanaotokana na CCM kama walivyotajwa kwenye hiyo ibara ya 109 kama

Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa baraza la mapinduzi

Waziri mkuu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania

Makamu wa Rais wa kwanza na wa pili wa Zanzibar wanaotokana naCCM

Spika wa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania

Spika wa baraza la wawakilishi
 
Sio tu anaingia kama nani?
anaingia kuchukua uenyekiti ili awanyooshe wanaopandisha mabega
 
Kwani Magufuli baada ya kuwa rais alikuwa anaingia kwenye vikao vya kamati kuu kama nani maana bado Kikwete alibaki kuwa mwenyekiti?
 
Mnahangaika Sana, mngekubali Rasimu Ya Warioba yasingewakuta haya leo
 
Hujui muundo wa CCM ulivyo bora umeuliza
 
Katiba inasema Rais atokaye na ccm ni mjumbe wa kamati kuu na halmashauri kuu. Hata hasipokuwa mwenyekiti.
 
Huyu ni mwanaccm sio kuingia tu na atatoka akiwa mwenyekiti wa taifa wa ccm kama hutaki kamtafute mamako aingie na yeye
Wewe mpumbavu, kwani mamako hawezi kuyafanya hayo unayowatuma mama wa wengine? Mbona imekuwa na majibu ya kipumbavu Sana ya kuwahusisha mama wa mtoa hoja huku mamako ukimtenga Kama kwamba ni zuzu asiyejua lolote zaidi ya kubeba mimba yako na kukuzaa! Huo ni uwomanizer na udhalilishaji wa mama wa wengine as if wa kwako ni Bora zaidi!
Mood mnamuogopa huyu womanizer? Hebu mchapeni Kofi la mwezi mzima kwa kuwadhalilisha mama zetu!
 
T
Tutaelewana kabla ya 2025
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…