Rais Samia anaingia kwenye kamati kuu ya CCM kama nani?

Kama rais baada ya rais mpenda misifa kutwaliwa
 
Kabla kikwete hajakabidhi kijiti Magufuli alikuwa anaingia kama nani?
 
Acha kuzunguka-zunguka. NDIYE M/Kiti ajae wa Chama chenu. Matarajio mengine mliyonayo kuhusu hili hayatatimia. Jiandaae tu kisaikolojia.
 
Kwani wewe umeuliza mambo ya kamati kuu na hilo swali kama nani?
 
Kwa hiyo hata hili nalo unapinga?

Bavicha na mnashida gani?
 
Mkuu ikumbukwe kuwa SSH ni mjumbe wa KK ya CCM hata kabla hajawa makamu wa Rais. Kwa hiyo tofauti na kofia ya umakamu aliyoipata pia alikuwa na sifa ya kuingia kwenye KK.
 
Jiwe alikuwa anaingia kama nani kabla ya kuteuliwa kuwa mwenyekiti wenu??
 
Ivi enzi zaa hayati pia wakati hajakabidhiwa u chair je uliwahi kuuliza swali kama hili ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…