rosemarie
JF-Expert Member
- Mar 22, 2011
- 6,887
- 3,420
Habari za kukamatwa kwa Mwenyekiti wa Chadema Mbowe na watendaji wengine wa Chama huko Mwanza zinashangaza sana
Watanzania wanajiuliza Rais Samia anajaribu kuiga au kumuiga Magufuli?
Maswali yamekuwa mengi kwani hana leadership style ya kwake ya kufanya kazi?
Kwani zile ahadi alizotoa za kutonyanyasa na kudhulumu haki za watu ikiwepo kukamata watu kwa kuwaonea alikuwa anadanganya?
Kwani pamoja na kuvaa ushungi akionesha ni mcha Mungu, anawadanganya watu au anajidanganya mwenyewe au anajaribu kumdanganya Mungu?
Watanzania fungueni macho sasa tunahitaji katiba mpya na muundo mpya utakaoweza kuendesha serikali yetu.
CCM wanatuchelewesha kufika tunakotaka kwenda, wanaogopa demokrasia na katiba mpya utafikiri nchi mali yao.
Natoa wito Watanzania wote tuamke tuchukue nchi yetu iendeshwe tunavyotaka.