zimmerman
JF-Expert Member
- Feb 17, 2011
- 1,644
- 3,176
Si juzi mbowe katoka kusema chanjo ya corona ni lazima wakati huo yupo kiguu na njia kuisambaza corona.Watanzania fungueni macho sasa tunahitaji katiba mpya na muundo mpya utakaoweza kuendesha serikali yetu.
CCM wanatuchelewesha kufika tunakotaka kwenda, wanaogopa demokrasia na katiba mpya utafikiri nchi mali yao.
Polisi wamemsaidia asiisambaze corona.