Rais Samia anajaribu kuendesha nchi kama Hayati Dkt. Magufuli?

Watanzania fungueni macho sasa tunahitaji katiba mpya na muundo mpya utakaoweza kuendesha serikali yetu.

CCM wanatuchelewesha kufika tunakotaka kwenda, wanaogopa demokrasia na katiba mpya utafikiri nchi mali yao.
Si juzi mbowe katoka kusema chanjo ya corona ni lazima wakati huo yupo kiguu na njia kuisambaza corona.

Polisi wamemsaidia asiisambaze corona.
 
Mbowe et al; wakipewa Uhuru, wanaongea kupitiliza, ngoja wanyolewe mpaka 2025 tena
 
Anakamata wapinzani ili kujisafisha kwa watu wa kanda ya ziwa ionekane anafuata nyayo za magufuli ila asichokijua ni kuwa watu wa kanda ya ziwa hawampendi tu hata afanyaje
Msemaji wa kanda ofisi yako inapatikana wap
 
Those are illusions - hamuwezi kuchukua nchi na ikaendeshwa mnavyo taka! Nipe mfano, ni nchi gani inayoendeshwa kama wananchi wote wanavyo taka?
 
Nafikiri ndicho anachomaanisha kwa kauli yake tata “kazi iendelee”.
 
Hivi Rais Samia ndio kamkamata Mbowe?

Kwani hii Nchi haina Vyombo? Haina Taasisi zinazofanya uchunguzi wa kisheria kwenye masuala ya Ugaidi na Usalama kwa ujumla?

Kama ameonewa si mkajenge hoja za Kisheria Mahakamani ili aachiwe?

Enyi Nyumbu, Je mmelogwa?
 
Hawajakamatwa na mama, wamekamatwa na polisi, usipotoshe!! Yaani akihatarisha nchi aachwe tu nila kuhojiwa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…