Rais Samia anakubali kuwa Rais Magufuli aliambukizwa UVIKO-19?

Rais Samia anakubali kuwa Rais Magufuli aliambukizwa UVIKO-19?

Behaviourist

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2016
Posts
39,926
Reaction score
95,626
Hiki hapa ni kipande kifupi cha video kutoka kwenye filamu ya Royal tour ambapo Samia anaulizwa kama Magufuli aliambukizwa Corona na yeye kujibu ndiyo.

Anakiri hilo kwenye sekunde ya 18.

NANUKUU:

Peter: In all honest your predecessor (Magufuli) was not a big friend of Vaccines and of the Science.

Samia: No he's a scientist.

Peter: Even worst!

Samia: He is a chemist… he was a chemist.

Peter: He was a chemist?

Samia: Yes

Peter: Who contracted COVID?

Samia: YEAH!

 
FB_IMG_16509564131917133.jpg
 
... mdogo mdogo MATAGA & Co; wataelewa tu. Ubishi mwingi akili punje ya haradali. Kauli rasmi kutoka kwa Rais na Amri Jeshi Mkuu vyombo vya ulinzi na usalama ambaye taarifa zote za taifa hili ziko mikononi mwake! Nani anapinga kauli ya Amiri Jeshi Mkuu?
 
Mbona tunalijua hili tangu zamani! Serikali ilikuwa inatumia staili ya mbuni kificha kichwa wakati mwili upo peupe!
... Serikali iliamua kumfichia aibu kutokana na kufariki kwa kile kile alichokuwa anakidharau maana jamii ingemwona mpumbavu sana. Anyway, muda ni mwalimu mzuri, taratibu yaliyofichwa yanaanza kujulikana.
 
Back
Top Bottom