Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
I see!Hiki hapa ni kipande kifupi cha video kutoka kwenye filamu ya Royal tour ambapo Samia anaulizwa kama Magufuli alikufa kwa Corona na yeye kujibu ndiyo.
View attachment 2203911
Hiyo avatar yako...jamaa kiboko sana!Yes sekunde ya 17
... Serikali iliamua kumfichia aibu kutokana na kufariki kwa kile kile alichokuwa anakidharau maana jamii ingemwona mpumbavu sana. Anyway, muda ni mwalimu mzuri, taratibu yaliyofichwa yanaanza kujulikana.Mbona tunalijua hili tangu zamani! Serikali ilikuwa inatumia staili ya mbuni kificha kichwa wakati mwili upo peupe!
.....Who contacted COVID?.....
.......Ambaye alipata COVID?....
It doesn't mean kwamba alikufa kwa COVID! hata kama aliugua.
Mleta uzi kama kinge kinakupiga chenga acha kudandia dandia mambo mod toa huu uzi unashusha hazi JFHiki hapa ni kipande kifupi cha video kutoka kwenye filamu ya Royal tour ambapo Samia anaulizwa kama Magufuli alikufa kwa Corona na yeye kujibu ndiyo.Anakiri hilo kwenye sekunde ya 18.
View attachment 2203911