Mama wa Taifa ni Mama Maria msimharibie heshimaWakuu,
Kama bado hujaenda kujiandikisha kupiga kura tafadhali tazama picha hii ya Rais Samia na Nyerere kwa nyakati tofauti wakiwa kwenye foleni wanasubiri zamu zao zifike!
Sina mengi ya kusema nadhani picha inajieleza.
π π
Huna hadabu, cjui ww una husika na Hawa πHuyu bibi ni comedian tu