LGE2024 Rais Samia anapanga foleni ya kujiandikisha ila tunakaa masaa matatu barabarani kusubiri msafara wake upite!

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Baba wa Taifa Nyerere, how come Mama wa Taifa awe huyo!!??
Aisee kazi kweli kweli hapo unajiuliza walioana lini??

Kajiandikisheni kupiga kura na sio kuandamana mitandaoni tu.

Kaandamaneni kwenye maboksi ya kura.
 
Baada picha kupigwa kilichofuata.....kwenda kujiandikisha kuacha wale mazombie pale pale yeye akasepa....maigizo.com
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…