#COVID19 Rais Samia anaridhishwa na yanayoendelea sasa kati ya Serikali na Askofu Gwajima?

Acha kutetea ujinga! Huyo Rais wako yuko bize kuchagua dela la kuvaa kesho halafu wewe unasema yuko bize na mambo ya kitaifa!

Acha hizo wewe!
 
Kwani mpaka sasa nchi haijamshinda?
 
Ebo! Nchi inayumbishwa unasema siyo kila kitu Rais!
 
wanawake Afrka bado sana katika ngazi ya urais, bado sana! Huyu ndiye katia fora kwa kutoweza. anayoyafanya hata mtoto wa chekechea anaweza kuongoza nchi. Kama kuongeza kodi kwenye simu, ani hawezi kufanya? Kufunga wanaokupinga nani hawezi kufanya? takataka tupu zinafanyika
 
Ebo! Nchi inayumbishwa unasema siyo kila kitu Rais!
Sio kila kitu ni mpaka rais, Rais ni mamlaka ya nidhamu kwa wateule wake tuu. Mbunge sio mteule wa rais!.
Tusimbebeshe rais mizigo ambayo sio yake!.
P
 
Usichokijua ni kwamba hauna Rais.She is hopeless inept.

Watu wenye uwezo wa kuongoza nchi huwa hawachukui madaraka kwa kuiba kura bali huchaguliwa na wananchi kutokana na kuwa na sifa stahiki.

Yeye amekuwa Rais kwa kuiba kura kwa sababu hakuwa na sifa za kuongoza.

Period.
 
Sio kila kitu ni mpaka rais, Rais ni mamlaka ya nidhamu kwa wateule wake tuu. Mbunge sio mteule wa rais!.
Tusimbebeshe rais mizigo ambayo sio yake!.
P
Ni kweli Mbunge sio mteule wa Rais lakini ni mwana CCM, chama ambacho Rais ni mwenyekiti wake. Hivyo anapaswa kuchukua hatua hata za kichama kwa sababu Gwajima hatoi matamko bungeni bali kwenye kijiwe chake!
 
Ni kweli Mbunge sio mteule wa Rais lakini ni mwana CCM, chama ambacho Rais ni mwenyekiti wake. Hivyo anapaswa kuchukua hatua hata za kichama kwa sababu Gwajima hatoi matamko bungeni bali kwenye kijiwe chake!
Mimi mwenyewe hapa ni kada wa Chama cha Mapinduzi, chama chetu kina utaratibu mzuri tuu wa nidhamu, na mamlaka yake ya nidhamu ndani ya chama pia sio rais, ni KM na tunafanya mambo kwa vikao, sio kwa kukurupuka au kuadhibu watu kwa kangaroo courts!. Kama kweli ni mkosaji, muda wake wa kushughulikiwa ukifika, atashughulikiwa.

P
 
Nafikiri hii ni mada ya tatu sasa waianzisha.

Ndo maana nikakuuliza mbona wahangaika?
 
P kwahiyo Askofu Gwajima ana power kias kwamba ukipambana nae unapotea .
 
mimi nafikiri kwa nchi kama hii bado hata watu hawaelewi mamlaka zao kila kitu wanamtegemea Rais, si ajabu hata waliopaswa kumuwajibisha Gwajima nao wanasubiri Rais ndio amuwajibishe, sasa Rais nae akiwa mkimya kila week sakata linachukua sura mpya
 
Kwa iyo Mimi wa chama cha Dovutwa nikojitokeza hadharani kupinga chanjo nitaachwa kama Gwajima?
 
Kwa ubongo gani?
 


Mnapenda kuhusudiana kwa kutumia nguvu kubwaaa wakati mambo mengine yangefaa kuuzwa tu na kuendelea na ujenzi wa Taifa!

Kama mtu amepotosha ajitokeze mtu aseme kilicho sahihi na sababu zake!
 
hivi we unaishi oysterbay nn? huku uswahilini watu wapo team askofu na team waziri
Waziri ana madalali wa chanjo wachache Sana..askofu ana watu wengi sana.tena wengi huwezi kuwasikia.wapo kimya kimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…