Vyama vya siasa vinaongozwa na matakwa ya mtu na siyo Katiba tena.Mama akutane na kila chama kwa namna yake kwa sababu ajenda za Chadema sio za NCCR, wala ajenda za ACT sio za CUF n.k
Unapotaka kukutana na ZItto, Lipumba, Mrema n.k kwa wakati mmoja kwa maana kwamba watu hao wawe wameafikiana kuwa na kauli moja ni ngumu...
Yeye ndiye kanyambuka nyambuka