The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Hana cha kushukuru Kwa wale waliokuwa wamejaa propaganda uchwara..Hongera zake.
Ila si bado hakijajengwa?.
Ila utoe na shukrani kwa awamu ya Tano ambayo Samia alikuwa Makamu. Ilijenga viwanda vingi vikiwemo ambavyo Samia mwenyewe alivifungua mwaka jana.
Usijitoe akili wakati ulikuwa unaona uzinduzi.Hana cha kushukuru Kwa wale waliokuwa wamejaa propaganda uchwara..
Kakiwanda kamoja kelele mwaka mzima
Tozo na viwanda vinahusianaje?Ujinga mtupu. Yule ndugu alikuwa na akili kubwa sana ndo maana hakuleta TOZO za kijinga kama hizi.
Uzinduzi gani?Usijitoe akili wakati ulikuwa unaona uzinduzi.
Ingia google. Magufuli/Samia azindu kiwanda.Uzinduzi gani?
Yaani kakiwanda kamoja kule Zanzibar ndio utajivunia kwa miaka 5 iliyopita?Ingia google. Magufuli/Samia azindu kiwanda.
Utakutana na viwanda vya tiles, Viatu, Bomba, Nyaya za umeme, Dawa n.k.
Pamoja na kuorodhesha hapo bado huelewi?Yaani kakiwanda kamoja kule Zanzibar ndio utajivunia kwa miaka 5 iliyopita?
Sasa iko hivi 👇je sasa ikojee mkuu
Tanzania imekuwa ikitengeneza Transfoma zake toka kitambo.Kazi inaendelea,kiwanda cha transfoma Kigamboni 👇
Kwani zinatosha? Yaani kiwanda kimoja Cha Tanalec wewe kwako unaona inatosha?👇Tanzania imekuwa ikitengeneza Transfoma zake toka kitambo.