PreGE2025 Rais Samia anataka mitano tena akafanye nini zaidi?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Wivu tu! Wewe umeanza kuandika makala nipo High School. Leo nina watoto wako chuo kikuu bado unaandika tu, halafu Rais Samia aliyekaa kwenye Urais miaka minne unaona hana haja ya kuendelea kuwa Rais? Mawazo haya ya kipumbavu mnayo ninyi wajuaji wa Kiafrika!
 
Mshangazi wako hawezi kukuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…