Rais Samia anatarajiwa kuzindua mradi wa maji wa Mwanga, Same, Korogwe wenye thamani ya zaidi ya Bilion 300

Rais Samia anatarajiwa kuzindua mradi wa maji wa Mwanga, Same, Korogwe wenye thamani ya zaidi ya Bilion 300

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
896
Reaction score
1,427
Rais wa Jamuhuri wa muunngano wa Tanzania Mh Dkt Samia Suluhu Hassani anatarajiwa kuzindua mradi wa maji wa Mwanga,Same,Korogwe wenye thamani ya zaidi ya Bilion 300 utakao wanufaisha wakazi wa wilaya ya Mwanga na Same Mkoani Kilimanjaro

Akizungumza March 4,2025 Mkuu wa Wilaya ya Mwanga Bi. Mwanahamisi Mankunda amewataka wananchi wa Wilaya ya Mwanga kujitokeza kwa wingi kuja kumpokea Rais Dkt Samia Suluhu Hassani katika uzinduzi wa mradi huo wa maji utakaoenda kumaliza kero za maji katika wilaya hiyo iliodumu kwa kipindi cha miaka mingi bila kupati maji hali iliyo kwamisha shughuli mbalimbali za maendleo katika wilaya

Wananchi zaidi ya laki moja na themanini hadi lakimbini (180000-200000) Watafaidika na matumizi ya maji kutoka katika mradi huo wa maji maeneo mbalimbali katika Wilaya ya Mwanga.

 
Ambao ulianzishwa na Mwenda zake sio?
Let us name one thing that this President has started from the scratch to finito.
 
Back
Top Bottom