Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
- Ninapoenda dukani kwa Shayo kununua sukari na dawa ya mbu nalipa kodi
- Ninapokata tiketi ya basi au treni nalipa kodi
- Ninaponunua LUKU nalipa kodi
- Ninaponunua wese la gari nalipa kodi
- Nikienda kutibiwa nalipa kodi.
Rais anajua anachokizungumza au ameambiwa bidhaa zote nchi nzima ni DUTY FREE?