Tukisema kodi hatumaanishi consumption taxes kama VAT, hizo hata mtoto mdogo hulipa. Tunamaanisha income taxes/corporate taxes.Najiuliza takwimu ya walipakodi wa Tanzania kutozidi milioni mbili imetoka wapi?
- Ninapoenda dukani kwa Shayo kununua sukari na dawa ya mbu nalipa kodi
- Ninapokata tiketi ya basi au treni nalipa kodi
- Ninaponunua LUKU nalipa kodi
- Ninaponunua wese la gari nalipa kodi
- Nikienda kutibiwa nalipa kodi.
Rais anajua anachokizungumza au ameambiwa bidhaa zote nchi nzima ni DUTY FREE?
Ngoja nimuite mtaalamu wa maswala ya uchumi Mayor Quimby atuambie kama vat siyo kodiTukisema kodi hatumaanishi consumption taxes kama VAT, hizo hata mtoto mdogo hulipa. Tunamaanisha income taxes/corporate taxes.
Na hata hiyo VAT techinically wewe hulipi kama unanunua kwa Mangi, threshold ya mauzo ya ulipajo wa VAT ni milioni 200 za kitanzania kwa bidhaa zilizoqualify VAT. Mangi analipa income tax tu ya biashara yake tena kwa makadirio.
Mlolongo wa VAT mara nyingi unaishia kwa maduka makubwa ya jumla katika nchi yetu au kwa manunuzi ya moja kwa moja kwenye kampuni kubwa kama mitandao ya simu.
Bado wananchi wengi hawana uelewa wa kodi na post yako inaonyesha hilo.
TLDR: Kuwa mnunuzi haimanishi wewe ni mlipa kodi
Najua ni ngumu kuelewa. Ukinunua kitu muuzaji ndio mlipa kodi sio mnunuzi, yeye ndio mwenye jukumu la KUKATA hiyo pesa uliompa na KUILIPA kwenda TRA. Yeye ndio MLIPA kodi “TAX PAYER.”Ngoja nimuite mtaalamu wa maswala ya uchumi Mayor Quimby atuambie kama vat siyo kodi
TRA Tanzania wanamsemo wao wa ukiuza toa risiti na ukinunua dai risiti lipa kodi kwa maendeleo ya taifa
Kwa maneno haya ya tra ni wazi ukinunua kitu ukachukua risiti umelipa kodi
Tukisema kodi hatumaanishi consumption taxes kama VAT, hizo hata mtoto mdogo hulipa. Tunamaanisha income taxes/corporate taxes.
Na hata hiyo VAT techinically wewe hulipi kama unanunua kwa Mangi, threshold ya mauzo ya ulipajo wa VAT ni milioni 200 za kitanzania kwa bidhaa zilizoqualify VAT. Mangi analipa income tax tu ya biashara yake tena kwa makadirio.
Mlolongo wa VAT mara nyingi unaishia kwa maduka makubwa ya jumla katika nchi yetu au kwa manunuzi ya moja kwa moja kwenye kampuni kubwa kama mitandao ya simu.
Bado wananchi wengi hawana uelewa wa kodi na post yako inaonyesha hilo.
TLDR: Kuwa mnunuzi haimanishi wewe ni mlipa kodi
Una elimu ya mambo ya Kodi?Najiuliza takwimu ya walipakodi wa Tanzania kutozidi milioni mbili imetoka wapi?
- Ninapoenda dukani kwa Shayo kununua sukari na dawa ya mbu nalipa kodi
- Ninapokata tiketi ya basi au treni nalipa kodi
- Ninaponunua LUKU nalipa kodi
- Ninaponunua wese la gari nalipa kodi
- Nikienda kutibiwa nalipa kodi.
Rais anajua anachokizungumza au ameambiwa bidhaa zote nchi nzima ni DUTY FREE?
Mlipakodi ni yule anayepeleka 'maokoto' mamlaka za kodi na kukabidhiwa Certificate au kwa kifupi mwenye TIN
VAT ni kodi, ata vocha ya simu imewekewa VAT. Hiyo aikwepeki.Ngoja nimuite mtaalamu wa maswala ya uchumi Mayor Quimby atuambie kama vat siyo kodi
TRA Tanzania wanamsemo wao wa ukiuza toa risiti na ukinunua dai risiti lipa kodi kwa maendeleo ya taifa
Kwa maneno haya ya tra ni wazi ukinunua kitu ukachukua risiti umelipa kodi
Sasa atalipaje VAT kama huyo mtu ajasajilowa kama trader. Ukiwa trader utalipa VAT na Income taxNaam, Kwa nchi ambazo kila mtu anafanya tax filings mwenyewe kama USA huwezi kukuta mtu ameweka sales tax (VAT) kama miongoni mwa kodi alizolipa. Kuwa mnunuzi haimaanishi wewe ni mlipa kodi
Mkuu Umejibu vizuri.Ila swali ni Je ninapotumia Pesa Sichangii kodi?Tukisema kodi hatumaanishi consumption taxes kama VAT, hizo hata mtoto mdogo hulipa. Tunamaanisha income taxes/corporate taxes.
Na hata hiyo VAT techinically wewe hulipi kama unanunua kwa Mangi, threshold ya mauzo ya ulipajo wa VAT ni milioni 200 za kitanzania kwa bidhaa zilizoqualify VAT. Mangi analipa income tax tu ya biashara yake tena kwa makadirio.
Mlolongo wa VAT mara nyingi unaishia kwa maduka makubwa ya jumla katika nchi yetu au kwa manunuzi ya moja kwa moja kwenye kampuni kubwa kama mitandao ya simu.
Bado wananchi wengi hawana uelewa wa kodi na post yako inaonyesha hilo.
TLDR: Kuwa mnunuzi haimanishi wewe ni mlipa kodi
Yeye ndiyo mkwepa kodi no 1 maana mshahara wake haukatwi kodi wala hanunui chochote kila kitu anapewa bure kama ombaombaNajiuliza takwimu ya walipakodi wa Tanzania kutozidi milioni mbili imetoka wapi?
- Ninapoenda dukani kwa Shayo kununua sukari na dawa ya mbu nalipa kodi
- Ninapokata tiketi ya basi au treni nalipa kodi
- Ninaponunua LUKU nalipa kodi
- Ninaponunua wese la gari nalipa kodi
- Nikienda kutibiwa nalipa kodi.
Rais anajua anachokizungumza au ameambiwa bidhaa zote nchi nzima ni DUTY FREE?
1. Unatuambia kuwa VAT sio kodi?Tukisema kodi hatumaanishi consumption taxes kama VAT, hizo hata mtoto mdogo hulipa. Tunamaanisha income taxes/corporate taxes.
Na hata hiyo VAT techinically wewe hulipi kama unanunua kwa Mangi, threshold ya mauzo ya ulipajo wa VAT ni milioni 200 za kitanzania kwa bidhaa zilizoqualify VAT. Mangi analipa income tax tu ya biashara yake tena kwa makadirio.
Mlolongo wa VAT mara nyingi unaishia kwa maduka makubwa ya jumla katika nchi yetu au kwa manunuzi ya moja kwa moja kwenye kampuni kubwa kama mitandao ya simu.
Bado wananchi wengi hawana uelewa wa kodi na post yako inaonyesha hilo.
TLDR: Kuwa mnunuzi haimanishi wewe ni mlipa kodi
Dogo una elimu yoyote kuhusu Kodi?Najiuliza takwimu ya walipakodi wa Tanzania kutozidi milioni mbili imetoka wapi?
- Ninapoenda dukani kwa Shayo kununua sukari na dawa ya mbu nalipa kodi
- Ninapokata tiketi ya basi au treni nalipa kodi
- Ninaponunua LUKU nalipa kodi
- Ninaponunua wese la gari nalipa kodi
- Nikienda kutibiwa nalipa kodi.
Rais anajua anachokizungumza au ameambiwa bidhaa zote nchi nzima ni DUTY FREE?
sasa mnona TRA wanawa taiti wanunuzi wachukue risiti wakati wanunuzi sio walipa kodi?Najua ni ngumu kuelewa. Ukinunua kitu muuzaji ndio mlipa kodi sio mnunuzi, yeye ndio mwenye jukumu la KUKATA hiyo pesa uliompa na KUILIPA kwenda TRA. Yeye ndio MLIPA kodi “TAX PAYER.”
Kwenye income kama mshahara wewe ndio mlipa kodi kwa sababu Pesa ZAKO ndio zinakatwa kwenye Stahiki zako au faida kwenye biashara yako. Ukishanunua bidhaa ile pesa si yako ni ya mwenye duka.
Risiti ipo kuhakikisha TRA wanapata rekodi sahihi ya mauzo ya mwenye duka ili yeye alipe kodi. Mwenye duka asipopeleka VAT hiyo mwisho wa mwezi ataulizwa yeye kwa nini hajalipa kodi iliopaswa ikatwe kwenye mauzo YAKE.
TRA hawatakufuata ukinunua kitu na kupewa risiti kuuliza kwa nini mwenye duka hajapeleka VAT yako kwa sababu wewe si mlipa kodi ni mnunuzi.
Unalazimishwa uchukue risit Ili TRA wajue mauzo ya mfanyabiashara Ili iwasaidie kwenye kulipa Kodi yake ya Cooperate tax na Kodi zinginesasa mnona TRA wanawa taiti wanunuzi wachukue risiti wakati wanunuzi sio walipa kodi?
kwanini wasiwataiti wauza bidhaa(walipa kodi) sababu mimi risiti sina kazi nayo na ndo maana sheli watu hawachukui risiti kila siku nikipita shali naona lile pipa limejaa risiti.