Rais Samia anawacheka vijana; Supu ya Pweza ni sababu ya ugumu wa maisha

Mtanke

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2011
Posts
743
Reaction score
1,839
Tatizo la nguvu za kiume na mwili kwa Dar es Salaam chanzo chake ni stress na lishe duni. Vijana wengi wanakula mlo mmoja.

Si ajabu kwa kukuta watoto wa kiume wana vidonda vya tumbo pale Dar. Maana yake mlo hafifu. Sasa mama badala ya kuwasaidia vijana kwa kuboresha hali zao ili waweze kujikimu kwa mlo wa kutosha na kukabiliana na stress za ukosefu wa fedha yeye anafanyia mzaha maisha hayo ya vijana.

Vijana pambaneni na hali zenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…