Rais Samia anawajibika ujenzi wa vyuo vya ufundi (VETA) nchini

Rais Samia anawajibika ujenzi wa vyuo vya ufundi (VETA) nchini

JUMA JUMA

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
790
Reaction score
964
RAIS SAMIA ANAWAJIBIKA UJENZI WA VYUO VYA UFUNDI - VETA NCHINI.

Ujenzi wa vyuo vya ufundi (VETA) umefungua Fursa kwa vijana kujifunza fani mbalimbali. Huu ni uwekezaji Mkubwa katika kuimarisha vyuo vya ufundi ili ķujenga uwezo kwa Vijana kujiajiri na kuajiriwa.

#RaisSamiaAnawajibikaUjenziWaVyuoVyaUfundi.

 
Back
Top Bottom