Ao walimu wakutosha umewaona wap kuna shule kibao zina walimu 2 mwisho 4 miaka nenda rudiHii elimu unayoiongelea wewe ni ya zamani lakini katika serikali hii ya Rais Samia Suluhu elimu ni bure lakini bora tena maana walimu wa kutosha wameajiriwa pia mazingira ya kusomea yameboreshwa