N nabydeco Member Joined Jul 1, 2018 Posts 78 Reaction score 96 Sep 27, 2022 #21 Nyabukika said: Hii elimu unayoiongelea wewe ni ya zamani lakini katika serikali hii ya Rais Samia Suluhu elimu ni bure lakini bora tena maana walimu wa kutosha wameajiriwa pia mazingira ya kusomea yameboreshwa Click to expand... Ao walimu wakutosha umewaona wap kuna shule kibao zina walimu 2 mwisho 4 miaka nenda rudi
Nyabukika said: Hii elimu unayoiongelea wewe ni ya zamani lakini katika serikali hii ya Rais Samia Suluhu elimu ni bure lakini bora tena maana walimu wa kutosha wameajiriwa pia mazingira ya kusomea yameboreshwa Click to expand... Ao walimu wakutosha umewaona wap kuna shule kibao zina walimu 2 mwisho 4 miaka nenda rudi
N Nyabukika JF-Expert Member Joined Jun 15, 2022 Posts 1,440 Reaction score 1,046 Sep 27, 2022 Thread starter #22 nabydeco said: Ao walimu wakutosha umewaona wap kuna shule kibao zina walimu 2 mwisho 4 miaka nenda rudi Click to expand... Sasa wewe umekariri ndugu yangu walimu wengi sana wameajiriwa na bado serikali inaongeza wengine zaidi ya elfu 42
nabydeco said: Ao walimu wakutosha umewaona wap kuna shule kibao zina walimu 2 mwisho 4 miaka nenda rudi Click to expand... Sasa wewe umekariri ndugu yangu walimu wengi sana wameajiriwa na bado serikali inaongeza wengine zaidi ya elfu 42