Rais Samia anaweza kutoa mhadhara Chuo kikuu cha Havard au Yale Marekani na dunia nzima ikasimama

..hotuba ya dakika mbili kutangaza kifo cha Mzee Mwinyi ilimpa shida, leo unataka aende Harvard, au Yale, akatoe mhadhara, na kujibu maswali?
 
Ilimpaje shida? acha kuweweseka wewe.Rais wetu mpendwa ametoa hotuba nzito hadi UN huko ndio iwe TBC?
 
Hio inamsaidia vipi mtu aliyelala njaa kutokana na kushindwa kuchuuza kwa hizi siku mbili kutokana na Sera mbovu zilizosababisha migomo
 
Kwa hiyo hizo siku mbili kuna mtu alikufunga kamba kuwa usifanye kazi?
 
Hio inamsaidia vipi mtu aliyelala njaa kutokana na kushindwa kuchuuza kwa hizi siku mbili kutokana na Sera mbovu zilizosababisha migomo
Leo si siku ya 3 au mgomo umeshaisha?
 
Nanukuu

""Tena siyo zile akili za kukariri maandishi na kwenda kuyatema kwenye karatasi ya mtihani bila kuelewa hata maana yake wala umeandika nini"""

Kwenye hoja YAKO watanzania wengi tuna angukia humo πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…