Rais Samia anaweza kutoa mhadhara Chuo kikuu cha Havard au Yale Marekani na dunia nzima ikasimama

Umeamua kumdhalilisha?
HUYU DOGO ANAMFANYIA RAIS KEBEHI. ANADHANI HAWEZI FIKIWA. MBWA SANA HUYU DOGO. ANAFANYA KEBEHI KWA RAIS? DAAAH.... HAWA WATU SIJUI WANATUMWA NA NANI. WATU TUNAMHESHIMU RAIS NA KUMLINDA YEYE ANAKUJA KUMFANYIA KEBEHI????????? AMENISHANGAZA SANA. KUNA KUNDI LINAMTUMIA HUYU DOGO SABABU YA NJAA ZAKE.
 
Kutukana matusi ni dalili ya matatizo ya akili .ungewahi mapema sana hospitalini.
 
SAWA...... NDO NAKUAMBIA KAMA UNADHANI KUMTUKANA AU KUMKEBEHI RAIS NI JAMBO JEPESI ULIZA WENZIO. MIMI NINA MATATIZO YA AKILI WEWE UNA AKILI. TUTAJUA ZAIDI. USIJE SEMA HUKUONYWA.
Mpaka sasa umeua wangapi? Uliongea lini na Mungu akakuambia kuwa wewe utaishi milele? Wewe hutakufa? Wewe utaishi Milele? Hata wewe utakufaaa tuuu .hata uuwe wangapi lakini bado na wewe ardhini utakwenda tu. Hakuna ambaye hatakufa .na kama kuuwa ndio silaha yako ,basi tambua ya kuwa aliyemba mbingu na Dunia atakuvuna na wewe na hutakuwa na uwezo wa kukikimbia kifo wala kulindwa na yeyote yule ili ukikwepe kifo. Wewe utakufa na kaburini utaingia.

Kwa hiyo kama unafikiri kuniua mimi ndio itakuwa kinga yako wewe ya kutokufa basi unajidanganya sana.maana utakufa tu tena ukimya mimi basi tambua ya kuwa wewe na familia yako nzima mtanifuata haraka sana tena sana
 
Lucas nimemuwahi! Alikuepo hapa wanawake hata salamu walikua hawampi wameona anakaribia kuteuliwa wanaanza kujigonga😂
Nakupenda sana ephen nakupendaa sana lazizi wa ❤️ wangu nakupenda sana lazizi wangu ephen nakupenda kwa dhati ya Moyo wangu wote nakupenda toka ndani ya sakafu ya ❤️ wangu
 
Ngoja tusubiri siku ambayo Mh. Samia atapewa Shahada ya heshima ya uchumi na hicho chuo cha Harvard tusikie hiyo speech yake. Kwa sasa hivi siwezi ongea chochote
 
Mwandishi atakuwa Gen A... Mpaka afike Gen Z Dunia itakuwa imeisha
 
Hivyo vyuo haviwezi kuruhusu kilaza kama huyo kwenda kutoa mhadhara kwenye vyuo hivyo
 
Wewe bado unalimbuka, hujafika hata kubweda.
 
Maneno yako tu yanaonyesha namna akili yako ilivyo ndogo.
Acheni kudanganya kibiya nyie wajinga mnafikiria watanzania ni wajinga kama nyie. Pumbavu zenu na tutawapiga spana na hizo posti zenu za kishoga mpaka mkome kupostiposti mauouou yenu mnafikiria wote ni wafirwaji kama nyie mkundu wako umeoza
 
We mpuuzi appearance yake tu na mijiushungi wataona hapa hamna kitu bora tuondoke kabla haijapigwa alahu akibaru.
 
Acheni kudanganya kibiya nyie wajinga mnafikiria watanzania ni wajinga kama nyie. Pumbavu zenu na tutawapiga spana na hizo posti zenu za kishoga mpaka mkome kupostiposti mauouou yenu mnafikiria wote ni wafirwaji kama nyie mkundu wako umeoza
Mwenye akili na anayejitambua anajibu hoja kwa hoja,ila asiye na akili na asiyejitambua ndio anafanya kama ulivyo fanya wewe.
 
Haina shida!!

Chondechonde asiuze tu kipande Cha nchi yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…