Rais Samia anaweza kutoa mhadhara Chuo kikuu cha Havard au Yale Marekani na dunia nzima ikasimama

Umeamua kumdhalilisha?
Mkuu Havard au Oxford hazileti chakula mezani,Ni hisia tu.
Kwa sasa China,South Korea,Japan ndio baba wa uchumi wa dunia hii.
Ebu tujitahidi kwenda na wakati,tena siku hizi waarabu wameturahisishia nenda Dubai kuna vyuo vyote hivyo.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Chuo kikuu cha Havard kinachopatikana Nchini Marekani ni Chuo Bora kabisa Ulimwenguni ambacho kimekuwa kikishika nafasi ya kwanza kwa Ubora Duniani,huku Yale University nayo ikiwa katika nafasi za juu vilevile, ndipo katika kumi bora unaweza kuona sasa vyuo kama Oxford na Cambridge kutoka Uingereza vikiwemo,japo asilimia na kwa kiasi kikubwa kumi bora hutawaliwa na vyuo vya Marekani tu.

Ni katika vyuo hivyo viwili yaani Havard pamoja na Yale unakuta hata Ma Rais wengi sana walioongoza Taifa la Marekani wametokea na kupita katika vyuo hivyo. Hii ni kwa kuwa vyuo hivyo hubeba na kuchukua vipanga na vijana wenye akili za juu sana na uwezo wa kipekee sana kiakili.tena siyo zile akili za kukariri maandishi na kwenda kuyatema kwenye karatasi ya mtihani bila kuelewa hata maana yake wala umeandika nini.

Ni vyuo vinavyo beba watu wenye akili zinazowaka moto na upeo wa hali ya juu sana .hii ndio sababu vyuo hivi hutoa Na Rais wa Marekani, majasusi na watu mbalimbali kwenye vyombo vya ulinzi na usalama hususani idara zake za ujasusi na upelelezi yaani CIA au FBI .au kuongoza mabenki na makampuni yao yenye maslahi kwa Taifa lao.hivi ndio vyuo vinatoa watu wenye akili ya kuifanya Marekani kuwa hapo ilipo leo hii.

Nikimuagalia Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan, kwa umakini wake, utulivu wake,upeo wake, akili kubwa aliyo nayo kichwani mwake, maarifa na uelewa wa masuala mbalimbali na kujiamini kwake naamini akipata nafasi ya kutoa Mhadhara kwenye vyuo hivyo,kwa hakika Dunia nzima inaweza kusimama na kutetemeka kama tetemeko la ardhi.

Hii ni kwa kuwa Rais Samia ana uwezo mkubwa sana wa kutoa hotuba, kuelezea jambo kwa utulivu, umakini, ufasaha na kwa mpangilio na mtiririko mzuri na wenye kuvutia. Anajuwa kupangilia hotuba katika namna inayoteka hisia za watu na kuvuta wasikilizaji kusikiliza bila kuchoka. Tofauti na mwingine anakuwa anatoa hotuba isiyo na muunganiko wala mtiririko wa kueleweka wala kuvutia.

Mfano jaribu kuangalia na kusoma hotuba za watu kama Dr Martin Luther king Jr hasa hotuba zake za I have a dream, I have been to the mountain top, Beyond Vietnam au Time to break silence, Our God is Marching on, The other American, Three evil of society. Unaweza pia soma hotuba ya Franklin Roosevelt hasa ile wakati anaapishwa, soma pia ya John F Kennedy ya mwaka 1963 kama sijakosea anayosema usiulize Marekani itakufanyia nini bali jiulize utaifanyia nini Marekani. Pia waweza soma ile ya Winston Churchill waziri mkuu wa Uingereza anayosema kuwa watapambana ardhini, angani, majini na popote pale.

Soma pia hotuba ya Barack Obama ile ya 2004 wakati anahutubia mkutano mkuu wa Democrat au ile siku ya kuapishwa au ya kukubali uteuzi au ile ya baada ya kupata ushindi. Waweza pia soma hotuba ya Mwalimu Nyerere ile ya 1995 akiwa mkoani Mbeya uwanja wa Sokoine siku ya wafanyakazi Duniani au ile pale Dodoma juu ya kiongozi aliyekuwa anahitajika kuletwa na wana CCM kwa watanzania kama mgombea au ile ya Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete siku ya Mazishi ya Hayati Nelson Mandela. Au waweza pia soma Hotuba ya Mama yetu mpendwa siku ameapishwa kuwa Rais wetu, ni hotuba yenye hisia kali sana inayoweza kukububujisha Machozi.

Nawasihi Wafuasi wa CHADEMA wawe wanasoma vitu na mambo mbalimbali ili kuongeza maarifa na uelewa, maana huwa nikiwasikiliza wakizungumza huwa naona aibu sana maana wao wakishindwa hoja na kuishiwa hoja unakuta wanaanza kuporomosha matusi kama vichaa au wendawazimu, mambo ambayo huwezi kuyakuta CCM, ndani ya CCM ni hoja kwa hoja na ndio maana chama kinaendelea kuaminika na kukubalika kwa mamilioni ya watanzania wa rika zote na kuendelea kusalia madarakani.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Hebu siku moja waleteee Wasifu wa mama waone alivyopiga shule,,, mpaka wameamua kuanza kummiminia Maphd ya heshima.
 
Wakati mwingine embu tumuogope Mungu. Maana
 
Nimeona watu wengi wanadhihaki bandiko lako, wanaofanya hivyo wamesahau kuwa hata wewe ulupokuwa unaliandika ulikuwa unacheka na hawajui kuwa umeandika kuchekesha watu. Wao wanadhani uko serious hawajui kuwa unamaanisha Havard ile ya pale Buguruni Rozana.

By the way, kama ulivyoona picha yake kwenye mnara wa pale Dubai halafu kufumba na kufumbua wakachukua Bandari zote, siku ukimuona hata amepewa kiti tu akaketi kukiwa na shughuli maalumu huko Havard ya Marekani basi tambua watakuwa wameshafika bei ya kila kitu muhimu ikiwemo Ikulu
 
Kazi kubwa mliyobakia nayo kwa sasa ni ya uzushi , uchonganishi na uongo tu.hii ni baada ya mbinu zenu zote za ubaguzi ,ukanda na ujinsia kugonga mwamba na watanzania kukataa kabisa kusikiliza ujinga huo.
 
mojanya principle za management usifanye kazi ambayo haulipwi, yaani dont be a freelance consultant
 
Maneno yako yanaonyesha namna ulivyo kosa hoja na kupaniki tu.
nyie machawa tutawapiga sana spana na mathreads yenu ya uwongo hivi huoni aibu kutetea uwongo thread nzima watu wanachangia negative.
Kijana kama wewe tahaira ni hasara kwa taifa ni heri huyo mwanaume angepiga punyeto kulipo kuzaa mtoto kama wewe
 
Ndugu zangu Watanzania,

Chuo kikuu cha Havard kinachopatikana Nchini Marekani ni Chuo Bora kabisa Ulimwenguni ambacho kimekuwa kikishika nafasi ya kwanza kwa Ubora Duniani,huku Yale University nayo ikiwa katika nafasi za juu vilevile, ndipo katika kumi bora unaweza kuona sasa vyuo kama Oxford na Cambridge kutoka Uingereza vikiwemo,japo asilimia na kwa kiasi kikubwa kumi bora hutawaliwa na vyuo vya Marekani tu.

Ni katika vyuo hivyo viwili yaani Havard pamoja na Yale unakuta hata Ma Rais wengi sana walioongoza Taifa la Marekani wametokea na kupita katika vyuo hivyo. Hii ni kwa kuwa vyuo hivyo hubeba na kuchukua vipanga na vijana wenye akili za juu sana na uwezo wa kipekee sana kiakili.tena siyo zile akili za kukariri maandishi na kwenda kuyatema kwenye karatasi ya mtihani bila kuelewa hata maana yake wala umeandika nini.

Ni vyuo vinavyo beba watu wenye akili zinazowaka moto na upeo wa hali ya juu sana .hii ndio sababu vyuo hivi hutoa Na Rais wa Marekani, majasusi na watu mbalimbali kwenye vyombo vya ulinzi na usalama hususani idara zake za ujasusi na upelelezi yaani CIA au FBI .au kuongoza mabenki na makampuni yao yenye maslahi kwa Taifa lao.hivi ndio vyuo vinatoa watu wenye akili ya kuifanya Marekani kuwa hapo ilipo leo hii.

Nikimuagalia Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan, kwa umakini wake, utulivu wake,upeo wake, akili kubwa aliyo nayo kichwani mwake, maarifa na uelewa wa masuala mbalimbali na kujiamini kwake naamini akipata nafasi ya kutoa Mhadhara kwenye vyuo hivyo,kwa hakika Dunia nzima inaweza kusimama na kutetemeka kama tetemeko la ardhi.

Hii ni kwa kuwa Rais Samia ana uwezo mkubwa sana wa kutoa hotuba, kuelezea jambo kwa utulivu, umakini, ufasaha na kwa mpangilio na mtiririko mzuri na wenye kuvutia. Anajuwa kupangilia hotuba katika namna inayoteka hisia za watu na kuvuta wasikilizaji kusikiliza bila kuchoka. Tofauti na mwingine anakuwa anatoa hotuba isiyo na muunganiko wala mtiririko wa kueleweka wala kuvutia.

Mfano jaribu kuangalia na kusoma hotuba za watu kama Dr Martin Luther king Jr hasa hotuba zake za I have a dream, I have been to the mountain top, Beyond Vietnam au Time to break silence, Our God is Marching on, The other American, Three evil of society. Unaweza pia soma hotuba ya Franklin Roosevelt hasa ile wakati anaapishwa, soma pia ya John F Kennedy ya mwaka 1963 kama sijakosea anayosema usiulize Marekani itakufanyia nini bali jiulize utaifanyia nini Marekani. Pia waweza soma ile ya Winston Churchill waziri mkuu wa Uingereza anayosema kuwa watapambana ardhini, angani, majini na popote pale.

Soma pia hotuba ya Barack Obama ile ya 2004 wakati anahutubia mkutano mkuu wa Democrat au ile siku ya kuapishwa au ya kukubali uteuzi au ile ya baada ya kupata ushindi. Waweza pia soma hotuba ya Mwalimu Nyerere ile ya 1995 akiwa mkoani Mbeya uwanja wa Sokoine siku ya wafanyakazi Duniani au ile pale Dodoma juu ya kiongozi aliyekuwa anahitajika kuletwa na wana CCM kwa watanzania kama mgombea au ile ya Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete siku ya Mazishi ya Hayati Nelson Mandela. Au waweza pia soma Hotuba ya Mama yetu mpendwa siku ameapishwa kuwa Rais wetu, ni hotuba yenye hisia kali sana inayoweza kukububujisha Machozi.

Nawasihi Wafuasi wa CHADEMA wawe wanasoma vitu na mambo mbalimbali ili kuongeza maarifa na uelewa, maana huwa nikiwasikiliza wakizungumza huwa naona aibu sana maana wao wakishindwa hoja na kuishiwa hoja unakuta wanaanza kuporomosha matusi kama vichaa au wendawazimu, mambo ambayo huwezi kuyakuta CCM, ndani ya CCM ni hoja kwa hoja na ndio maana chama kinaendelea kuaminika na kukubalika kwa mamilioni ya watanzania wa rika zote na kuendelea kusalia madarakani.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Hotuba na tetemeko la Ardhi😅😅 chama kina vinyesi hiki sijapata ona.
 
Lakini wewe bwana!!! Sasa siku zote unasifiaaaaa weeeee huyo mama yako (kama kweli) lakini lazima utaje CHADEMA ili watu walau waingie kukusoma.. na unakula mvua za kutosha kabisa, ila huchoki..!!!!??$$##@**
 
Anaweza kutoa mhadhara (lecture) wa kitaaluma katika chuo cha Mzumbe? Tuanze hapo kwanza
 
Upotoshaji wako ni kwamba unataka watu waamini kwamba Samia is the best President we have never had,jambo ambalo si kweli.Infact she is the worst President ever.
Rais Samia ni Kiongozi bora sana kwa wakati huu ambaye huwezi kumfananisha na yeyote yule
 
Lakini wewe bwana!!! Sasa siku zote unasifiaaaaa weeeee huyo mama yako (kama kweli) lakini lazima utaje CHADEMA ili watu walau waingie kukusoma.. na unakula mvua za kutosha kabisa, ila huchoki..!!!!??$$##@**
CHADEMA nawapeni ukweli mchungu ili mbadilike
 
nyie machawa tutawapiga sana spana na mathreads yenu ya uwongo hivi huoni aibu kutetea uwongo thread nzima watu wanachangia negative.
Kijana kama wewe tahaira ni hasara kwa taifa ni heri huyo mwanaume angepiga punyeto kulipo kuzaa mtoto kama wewe
Naona hoja imekuzidi kimo cha akili yako
 
Ndugu zangu Watanzania,

Chuo kikuu cha Havard kinachopatikana Nchini Marekani ni Chuo Bora kabisa Ulimwenguni ambacho kimekuwa kikishika nafasi ya kwanza kwa Ubora Duniani,huku Yale University nayo ikiwa katika nafasi za juu vilevile, ndipo katika kumi bora unaweza kuona sasa vyuo kama Oxford na Cambridge kutoka Uingereza vikiwemo,japo asilimia na kwa kiasi kikubwa kumi bora hutawaliwa na vyuo vya Marekani tu.

Ni katika vyuo hivyo viwili yaani Havard pamoja na Yale unakuta hata Ma Rais wengi sana walioongoza Taifa la Marekani wametokea na kupita katika vyuo hivyo. Hii ni kwa kuwa vyuo hivyo hubeba na kuchukua vipanga na vijana wenye akili za juu sana na uwezo wa kipekee sana kiakili.tena siyo zile akili za kukariri maandishi na kwenda kuyatema kwenye karatasi ya mtihani bila kuelewa hata maana yake wala umeandika nini.

Ni vyuo vinavyo beba watu wenye akili zinazowaka moto na upeo wa hali ya juu sana .hii ndio sababu vyuo hivi hutoa Na Rais wa Marekani, majasusi na watu mbalimbali kwenye vyombo vya ulinzi na usalama hususani idara zake za ujasusi na upelelezi yaani CIA au FBI .au kuongoza mabenki na makampuni yao yenye maslahi kwa Taifa lao.hivi ndio vyuo vinatoa watu wenye akili ya kuifanya Marekani kuwa hapo ilipo leo hii.

Nikimuagalia Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan, kwa umakini wake, utulivu wake,upeo wake, akili kubwa aliyo nayo kichwani mwake, maarifa na uelewa wa masuala mbalimbali na kujiamini kwake naamini akipata nafasi ya kutoa Mhadhara kwenye vyuo hivyo,kwa hakika Dunia nzima inaweza kusimama na kutetemeka kama tetemeko la ardhi.

Hii ni kwa kuwa Rais Samia ana uwezo mkubwa sana wa kutoa hotuba, kuelezea jambo kwa utulivu, umakini, ufasaha na kwa mpangilio na mtiririko mzuri na wenye kuvutia. Anajuwa kupangilia hotuba katika namna inayoteka hisia za watu na kuvuta wasikilizaji kusikiliza bila kuchoka. Tofauti na mwingine anakuwa anatoa hotuba isiyo na muunganiko wala mtiririko wa kueleweka wala kuvutia.

Mfano jaribu kuangalia na kusoma hotuba za watu kama Dr Martin Luther king Jr hasa hotuba zake za I have a dream, I have been to the mountain top, Beyond Vietnam au Time to break silence, Our God is Marching on, The other American, Three evil of society. Unaweza pia soma hotuba ya Franklin Roosevelt hasa ile wakati anaapishwa, soma pia ya John F Kennedy ya mwaka 1963 kama sijakosea anayosema usiulize Marekani itakufanyia nini bali jiulize utaifanyia nini Marekani. Pia waweza soma ile ya Winston Churchill waziri mkuu wa Uingereza anayosema kuwa watapambana ardhini, angani, majini na popote pale.

Soma pia hotuba ya Barack Obama ile ya 2004 wakati anahutubia mkutano mkuu wa Democrat au ile siku ya kuapishwa au ya kukubali uteuzi au ile ya baada ya kupata ushindi. Waweza pia soma hotuba ya Mwalimu Nyerere ile ya 1995 akiwa mkoani Mbeya uwanja wa Sokoine siku ya wafanyakazi Duniani au ile pale Dodoma juu ya kiongozi aliyekuwa anahitajika kuletwa na wana CCM kwa watanzania kama mgombea au ile ya Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete siku ya Mazishi ya Hayati Nelson Mandela. Au waweza pia soma Hotuba ya Mama yetu mpendwa siku ameapishwa kuwa Rais wetu, ni hotuba yenye hisia kali sana inayoweza kukububujisha Machozi.

Nawasihi Wafuasi wa CHADEMA wawe wanasoma vitu na mambo mbalimbali ili kuongeza maarifa na uelewa, maana huwa nikiwasikiliza wakizungumza huwa naona aibu sana maana wao wakishindwa hoja na kuishiwa hoja unakuta wanaanza kuporomosha matusi kama vichaa au wendawazimu, mambo ambayo huwezi kuyakuta CCM, ndani ya CCM ni hoja kwa hoja na ndio maana chama kinaendelea kuaminika na kukubalika kwa mamilioni ya watanzania wa rika zote na kuendelea kusalia madarakani.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Jinga wewe. Hotuba zenyewe za ndani ya nchi tunazima TV au kuhamisha channel sembuse huko. Huyu anaweza toa mhadhara kwenye kichwa chako cha kizombie tu. Mungu chukua hili lishetani haraka Sana lichome moto
 
Back
Top Bottom