Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe hunaga akili.Jinga wewe. Hotuba zenyewe za ndani ya nchi tunazima TV au kuhamisha channel sembuse huko. Huyu anaweza toa mhadhara kwenye kichwa chako cha kizombie tu. Mungu chukua hili lishetani haraka Sana lichome moto
Kwa the the tha thaNdugu zangu Watanzania,
Chuo kikuu cha Havard kinachopatikana Nchini Marekani ni Chuo Bora kabisa Ulimwenguni ambacho kimekuwa kikishika nafasi ya kwanza kwa Ubora Duniani,huku Yale University nayo ikiwa katika nafasi za juu vilevile, ndipo katika kumi bora unaweza kuona sasa vyuo kama Oxford na Cambridge kutoka Uingereza vikiwemo,japo asilimia na kwa kiasi kikubwa kumi bora hutawaliwa na vyuo vya Marekani tu.
Ni katika vyuo hivyo viwili yaani Havard pamoja na Yale unakuta hata Ma Rais wengi sana walioongoza Taifa la Marekani wametokea na kupita katika vyuo hivyo. Hii ni kwa kuwa vyuo hivyo hubeba na kuchukua vipanga na vijana wenye akili za juu sana na uwezo wa kipekee sana kiakili.tena siyo zile akili za kukariri maandishi na kwenda kuyatema kwenye karatasi ya mtihani bila kuelewa hata maana yake wala umeandika nini.
Ni vyuo vinavyo beba watu wenye akili zinazowaka moto na upeo wa hali ya juu sana .hii ndio sababu vyuo hivi hutoa Na Rais wa Marekani, majasusi na watu mbalimbali kwenye vyombo vya ulinzi na usalama hususani idara zake za ujasusi na upelelezi yaani CIA au FBI .au kuongoza mabenki na makampuni yao yenye maslahi kwa Taifa lao.hivi ndio vyuo vinatoa watu wenye akili ya kuifanya Marekani kuwa hapo ilipo leo hii.
Nikimuagalia Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan, kwa umakini wake, utulivu wake,upeo wake, akili kubwa aliyo nayo kichwani mwake, maarifa na uelewa wa masuala mbalimbali na kujiamini kwake naamini akipata nafasi ya kutoa Mhadhara kwenye vyuo hivyo,kwa hakika Dunia nzima inaweza kusimama na kutetemeka kama tetemeko la ardhi.
Hii ni kwa kuwa Rais Samia ana uwezo mkubwa sana wa kutoa hotuba, kuelezea jambo kwa utulivu, umakini, ufasaha na kwa mpangilio na mtiririko mzuri na wenye kuvutia. Anajuwa kupangilia hotuba katika namna inayoteka hisia za watu na kuvuta wasikilizaji kusikiliza bila kuchoka. Tofauti na mwingine anakuwa anatoa hotuba isiyo na muunganiko wala mtiririko wa kueleweka wala kuvutia.
Mfano jaribu kuangalia na kusoma hotuba za watu kama Dr Martin Luther king Jr hasa hotuba zake za I have a dream, I have been to the mountain top, Beyond Vietnam au Time to break silence, Our God is Marching on, The other American, Three evil of society. Unaweza pia soma hotuba ya Franklin Roosevelt hasa ile wakati anaapishwa, soma pia ya John F Kennedy ya mwaka 1963 kama sijakosea anayosema usiulize Marekani itakufanyia nini bali jiulize utaifanyia nini Marekani. Pia waweza soma ile ya Winston Churchill waziri mkuu wa Uingereza anayosema kuwa watapambana ardhini, angani, majini na popote pale.
Soma pia hotuba ya Barack Obama ile ya 2004 wakati anahutubia mkutano mkuu wa Democrat au ile siku ya kuapishwa au ya kukubali uteuzi au ile ya baada ya kupata ushindi. Waweza pia soma hotuba ya Mwalimu Nyerere ile ya 1995 akiwa mkoani Mbeya uwanja wa Sokoine siku ya wafanyakazi Duniani au ile pale Dodoma juu ya kiongozi aliyekuwa anahitajika kuletwa na wana CCM kwa watanzania kama mgombea au ile ya Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete siku ya Mazishi ya Hayati Nelson Mandela. Au waweza pia soma Hotuba ya Mama yetu mpendwa siku ameapishwa kuwa Rais wetu, ni hotuba yenye hisia kali sana inayoweza kukububujisha Machozi.
Nawasihi Wafuasi wa CHADEMA wawe wanasoma vitu na mambo mbalimbali ili kuongeza maarifa na uelewa, maana huwa nikiwasikiliza wakizungumza huwa naona aibu sana maana wao wakishindwa hoja na kuishiwa hoja unakuta wanaanza kuporomosha matusi kama vichaa au wendawazimu, mambo ambayo huwezi kuyakuta CCM, ndani ya CCM ni hoja kwa hoja na ndio maana chama kinaendelea kuaminika na kukubalika kwa mamilioni ya watanzania wa rika zote na kuendelea kusalia madarakani.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Rais wetu mpendwa anaongea na kuzungumza kingereza kilichonyooka kama Rula.Kwa the the tha tha
Kama ruto?Rais wetu mpendwa anaongea na kuzungumza kingereza kilichonyooka kama Ru
Unajua mkuu,mimi nimefika mahali naamini kwamba Lucas Mwashambwa does not deserve our comments,he is such a loon.Jinga wewe. Hotuba zenyewe za ndani ya nchi tunazima TV au kuhamisha channel sembuse huko. Huyu anaweza toa mhadhara kwenye kichwa chako cha kizombie tu. Mungu chukua hili lishetani haraka Sana lichome moto
Hamna hoja yeyote nyie wafirwaji wanuka mavi mnaleta.Naona hoja imekuzidi kimo cha akili yako
Ndo nakuambia dogo wewe endelea tu kama unadhani utakutwa Katavi. Endelea tu kumkebehi Rais. Na wanaokutuma waambie system ipo vizuri.sasa endelea maana tunachukuliana poa.Mpaka sasa umeua wangapi? Uliongea lini na Mungu akakuambia kuwa wewe utaishi milele? Wewe hutakufa? Wewe utaishi Milele? Hata wewe utakufaaa tuuu .hata uuwe wangapi lakini bado na wewe ardhini utakwenda tu. Hakuna ambaye hatakufa .na kama kuuwa ndio silaha yako ,basi tambua ya kuwa aliyemba mbingu na Dunia atakuvuna na wewe na hutakuwa na uwezo wa kukikimbia kifo wala kulindwa na yeyote yule ili ukikwepe kifo. Wewe utakufa na kaburini utaingia.
Kwa hiyo kama unafikiri kuniua mimi ndio itakuwa kinga yako wewe ya kutokufa basi unajidanganya sana.maana utakufa tu tena ukimya mimi basi tambua ya kuwa wewe na familia yako nzima mtanifuata haraka sana tena sana
Bwege sana huyu dogo na tunajua kuwa anafanywa issues na watu flani then anakuja hapa kumkebehi RaisUnajua mkuu,mimi nimefika mahali naamini kwamba Lucas Mwashambwa does not deserve our comments,he is such a loon.
Ukimaliza kutukana basi kunywa sumu UFE kabisa maana huna faida kabisa ndugu yangu .Hamna hoja yeyote nyie wafirwaji wanuka mavi mnaleta.
Wewe unajua maana ya hoja kweli.
Sasa hizo pumba ndio hoja nyie nitakuwa nawajibu kwa kuwatukana tu manake hamna mnaloandika zaidi ya porojo kila ukunijibu lazima ule tusi kumaamamaako wewe fala
Na lazima niwajibu mikundu kama nyie msizoee kudanganya watu wenye akili zao
Tangia lini wewe ukawa na upendo na Mheshimiwa Rais wetu? Wewe si kila wakati umekuwa ukimtukana na kutoa lugha chafu? Embu acha ujinga wako hapa wewe.Mtake radhi Mh Rais maana umeanza kumdhihaki.
Acha kutukana matusi yako utafikiri kichaa au mwendawazimuBwege sana huyu dogo na tunajua kuwa anafanywa issues na watu flani then anakuja hapa kumkebehi Rais
Nimeshakwambia kuwa wewe na familia yako yote mtanifuata wooteee kama kuku wa kideli. Kama umeua wengine na ukaendelea kudumu basi ni kwa hao hao lakini kwangu ni kuwa na wewe na familia yako mtadondoka kama maembe yaliyooza mtini. Tena koma kabisa kunifuatilia.Ndo nakuambia dogo wewe endelea tu kama unadhani utakutwa Katavi. Endelea tu kumkebehi Rais. Na wanaokutuma waambie system ipo vizuri.sasa endelea maana tunachukuliana poa.