Rais Samia, anza na Dkt. Abassi ameonesha dharau na kiburi kwako

Amzingue tu!
 
Amzingue tu!
Awe mfano, kuna muda ukali kidigo unahitajika. Bila kumtolea mfano hata huko TRA, kwenye uwekezaji, maDED,maDC, MaRC na kwengine wataendelea na ukaidi
 
Acha uchochezi usiokuwa na tija, unazani kufunguliwa vyombo vya habari vilivyofungiwa ni kama kufungua mlango wa choo chako unapobanwa na haja!?
Bado mko ktk akili zilezile za upuuzi na ushenzi.mko ktk akili kandamizi za kukomoa kundi fulani.

Hamjasoma alama za nyakati,utawala umebadilika.Magufuli Ni marehemu sasa.Ameondoka na ushenzi wake.Huyo Abass atapata tabu sana.

Kufungulia vyombo vilivyofungia maana yake Rais yuko tayari kuruhusu uhuru wa habari,yuko tayari kukosolewa.

Na vyombo vya habari vitamsaidia kujua ni wapi nyumba yake inavuja.

HIZI NI ZAMA MPYA.
 
We abasi zama zimebadilika - acha jeuri na kejeli Mama hatabiriki...ukizubaa utakuja huku Dutumi tulime mihogo na viazi.
Baba aliyetudekeza tushamzika..zama zake kwishney!!
Fungueni vyombo vyote vya habari - pitieni sheria na kanuni upya.... unakonda?
 
Dawa ya hawa sio kuwafukuza , unamtafutia wilaya ya ndani ambayo ni km Kama elfu 3000, kufika dar , akipigwa vumbi huko KWA miezi 6 wa saba utamuona pale CHAMWINO kuomba msamaha, Kama mh NAPE kipindi kile,
 
Huyu anastahili kuondolewa kama mfano.
 
Ndio Mkuu, akimpa uDED huko mipakani
 
Ndio Mkuu, akimpa uDED huko mipakani
Kwisha habari yake miezi saba atakua amepauka vibaya mno , huna sababu ya kumfukuza, na hii ndo inatakiwa kuwa dawa za watu type hii, pangua peleka kwenye wilaya za huko ndani, kiyoyozi na v8 wanaanza kuwa wanaona kwenye tv,
 
Huyu anastahili kuondolewa kama mfano.
Mkuu kwenye utumishi Kuna azabu za kutosha moja ni hii, kufukuza binafsi kwangu sio no moja, mwaka mmoja Kulikua na mkurugenzi wilaya ya muheza, alikua na kibuli,so alitolewa kwenye ukurugenzi akapelekwa wilaya moja na akawa kwenye ofisi ya mipango tena chini ya mtu , ni kipindi Cha kikwete nafikili
 
Kigoma apelekwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…