ram
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 9,326
- 8,505
Wakati wa mwendazake mbona alikuwa anasafiri sana, ndio alikuwa anamwakilisha kwenye matukio ya nje ya nchiAlizikosa sana na sasa ni wakati wake kufanya utalii wa kimataifa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakati wa mwendazake mbona alikuwa anasafiri sana, ndio alikuwa anamwakilisha kwenye matukio ya nje ya nchiAlizikosa sana na sasa ni wakati wake kufanya utalii wa kimataifa
aligoma kuapishwaKumbe Yoweri alikuwa hajaapishwa? Mbona imechukua muda mrefu sana?
PMUlitaka amkaimishe Kabudi?
TeteteteteteNaanza kumwelewa sasa Bi Mkubwa aliposema eti Bulldozer ni mwalimu wake, alimfundisha akafundishika --- kumbe alikuwa anamaanisha alielewa na kupenda zile heko za safari alizokuwa akipewa kuhudhuria ziara mbalimbali ughaibuni. Safari (safari tuuu, regardless of faida husika) is arguably the best and the only thing Bi Mkubwa can perform VERY well.
Acha mawazo ya kitoto, unataka aende Uganda na bodaboda?. Museveni alikuja kuhudhuria kuapishwa kwa hayati Magufuli, unataka Rais awetu asusie kuapishwa kwake?.Hajatembelea mradi hata mmoja wa kimaendeleo toka aingie madarakani kama kiongozi mkuuu, hajakutana na wananchi hata mmoja zaidi ya wale wazee ambao walikuwa wanamsikiliza tu ! si kusema shida zao dah kutwa yupo juu ya Ndege tu mwenzie alikuwa anatumia gari huku anatatua kero za wananchi njiani dah 37/5 itatutesa sana
Mama anapiga misele tu hataki tabu.Ujinga huu ukiendelea tutarudi nyuma hatua tatu ndo maana tutamkumbuka Sana mwendazke kwani mambo Kama hata alikuwa hayataki kabisa
TPA haina uongozi hadi mama afike ,mlizoea mbwembweMama ameona bora akatembee Uganda ila sio kwenda kutatua kero ya Mizigo pale bandarini..
Kweli kupanga ni kuchagua, and to her its seems Sherehe ni muhimu kuliko uhai wa bandari yetu..
Hizi safari hazina mantiki kwa Tanzania.Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Hassan Suluhu, Ameondoka leo kwenda Uganda kuhudhuria Sherehe za Kumuapisha Rais alishinda uchaguzi inchini Uganda, Yoweri Kaguta Museveni.
Ikumbukwe jana ubalozi wa Ujerumani inchini Uganda ulilazimika kufuta Post yake kwenye ukurasa wake wa Facebook, Kurasa huo uliandikwa Salamu za kumpongeza Mseven kwa ushindi aliouoata kwenye uchaguzi ulipita, Salamu hizo zilizotolewa na Kiongozi wa Ujerumani Mama Angela Merkel.
Ubalozi uli huo ulifuta post hiyo baada ya wananchi kuonyesha hasira zao kwa maneno makali na matusi hali iliyopelekea kufutwa kwa post hiyo.
=======
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ameondoka asubuhi hii kwenda nchini Uganda ambapo leo tarehe 12 Mei, 2021 atahudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni katika uwanja wa sherehe wa Kololo Jijini Kampala.
Hata hizi zina counter inaendelea na kazi kimyakimya huko, kumbuka hesabu zilisema JK alikuwa ughaibuni kwa 5 years katika uongozi wake wa miaka 10Dah...hizi Safari mnaandika lakini? Maana za JK tulizihesabu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Siku nilipoona ile twit yake ya "nimewasili dar" nikajua tu kinachofuata, kwa sasa ni kama ame out source majukumu yakeRais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Hassan Suluhu, Ameondoka leo kwenda Uganda kuhudhuria Sherehe za Kumuapisha Rais alishinda uchaguzi inchini Uganda, Yoweri Kaguta Museveni.
Ikumbukwe jana ubalozi wa Ujerumani inchini Uganda ulilazimika kufuta Post yake kwenye ukurasa wake wa Facebook, Kurasa huo uliandikwa Salamu za kumpongeza Mseven kwa ushindi aliouoata kwenye uchaguzi ulipita, Salamu hizo zilizotolewa na Kiongozi wa Ujerumani Mama Angela Merkel.
Ubalozi uli huo ulifuta post hiyo baada ya wananchi kuonyesha hasira zao kwa maneno makali na matusi hali iliyopelekea kufutwa kwa post hiyo.
=======
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ameondoka asubuhi hii kwenda nchini Uganda ambapo leo tarehe 12 Mei, 2021 atahudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni katika uwanja wa sherehe wa Kololo Jijini Kampala.
Ceremonial President. JK style.Hizi safari hazina mantiki kwa Tanzania.
Mh Rais hakagui miradi ya SGR, Bwawa la Nyerere, Vituo vya afya, miradi ya maji wala siku hizi hazitangazwi kwenye vyombo vya habari kama ilivyokuwa inafanywa.
"Malkia mwenye maneno matamu..."-TAL
"Mtanikumbuka kwa mambo mazuri sio mabaya..."JPM
Mh Rais atumikie wananchi waliochagua chama chake, ukimya wao asifikiri ni shwari, kutuma wasaidizi wafanye kazi hizo zinamnyima kupigiwa kura kama yeye......huo ndio ukweili unaosemwa chinichini
Kazi kweli kweliAsiposafiri nongwa, akisafiri nongwa.
Dodoma wana mbunge wao ambaye ni spika.Mama mbona hatulii kabisa ofisini hizo per diem watu wanajitafunia tu burebure ili hali kuna wananchi masakini huko dodoma wanakunywa maji yenye tope.
Hakika JPM ataendelea kuishi mioyoni mwa watanzania mengi.
Unataka Mpango nae apate uzoefu....Mama naona hataki kukaimisha safari za nje kabisa.
Ndiyo maanakeu
Unataka Mpango nae apate uzoefu....
Kati ya kuapishwa na msiba upi wenye Nguvu? Bakizeni ata akili kidogo mnapompenda mtu maana mmekuwa kama vichaaaAcha mawazo ya kitoto, unataka aende Uganda na bodaboda?. Museveni alikuja kuhudhuria kuapishwa kwa hayati Magufuli, unataka Rais awetu asusie kuapishwa kwake?.
Daaaah! Ilikuwa inafurahisha sana! Anastahili pongezi sana aliyeanzisha thread ile!Dah...hizi Safari mnaandika lakini? Maana za JK tulizihesabu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Rais anao wasaidizi wake wanaoendelea na kazi wakati yeye anapohudhuria shughuli ya kuapishwa ya Museveni.Hizi safari hazina mantiki kwa Tanzania.