Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Acha kupenda kuropoka ropoka Hovyo.Mama anakubalika sana na mamilioni ya watanzania wana imani kubwa sana na uongozi wake.Sina imani na Samia, wanapanga kututeka na kutuua
Mwanzoni ulikuwa unaweka namba mwishoni ili wakufikie....Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hassan, hii leo ameongoza kikao cha Baraza la Mawaziri Chamwino Mkoani Dodoma.
Kazi iendelee, Mama ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Wewe pambana na CHADEMA yako inayoendelea kuzama shimoni huku ikiendelea kupuuzwa na watanzaniaMwanzoni ulikuwa unaweka namba mwishoni ili wakufikie....
Naona umeshafikiwa na sasa unapenyezewa habari kuupuma.upepo mtaani kumekaaje.
Hapo hakuna cha ziada zaidi ya kutafuna nchi na kupeana kamba mpya za kusaidia ulaji wa keki ya taifa
Mimi ni CCM nalipia ada zangu zote.Wewe pambana na CHADEMA yako inayoendelea kuzama shimoni huku ikiendelea kupuuzwa na watanzania
Wanajadili masuala ya maana na ya muhimu na ndio maana Taifa limefika hapa likiwa limepiga hatua kubwa za kimaendeleoUkiwaona na misuti utadhani wanajadili ishu za maana, kumbe...
Hatuna CCM aina yako asiyejitambua.Mimi ni CCM nalipia ada zangu zote.
Kwa kuwa imevamiwa na wahuni, sihami napalbana nao humu humu.
Wewe ni chawa tena CCM Maslahi
Uchaguzi uko karibu. Muhimu kupeana kamba mpya ambazo ni imara zaidi na ndefu zaidi.Mwanzoni ulikuwa unaweka namba mwishoni ili wakufikie....
Naona umeshafikiwa na sasa unapenyezewa habari kuupuma.upepo mtaani kumekaaje.
Hapo hakuna cha ziada zaidi ya kutafuna nchi na kupeana kamba mpya za kusaidia ulaji wa keki ya taifa
'Wanajadili' kwani umewasikia... kwamba nawe umo humo ndani ya kikao au ni uchawa tu unakusumbua?!.Wanajadili masuala ya maana na ya muhimu na ndio maana Taifa limefika hapa likiwa limepiga hatua kubwa za kimaendeleo
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hassan, hii leo ameongoza kikao cha Baraza la Mawaziri Chamwino Mkoani Dodoma.
Kazi iendelee, Mama ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kwani wamekwambia wanakwenda kucheza draft.'Wanajadili' kwani umewasikia... kwamba nawe umo humo ndani ya kikao au ni uchawa tu unakusumbua?!.
Ushabiki ni kitu kibaya sana. Hisia hutawala akili.'Wanajadili' kwani umewasikia... kwamba nawe umo humo ndani ya kikao au ni uchawa tu unakusumbua?!.
Tujenge tu imani na serikali yetu. Hakuna namna nyingine ya kutoka hapa tulipo🤣🤣🤣 wakikaa hivyo utadhani wanajadili vya maana kumbe!!!
Wanajadili upuuzi siku ipite wapate per diem TU!🤣🤣🤣 wakikaa hivyo utadhani wanajadili vya maana kumbe!!!