Rais Samia aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam

Rais Samia aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
896
Reaction score
1,427
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 07 Machi, 2025.
1-4-1024x699.jpg
1_-1024x710.jpg
1._-1024x699.jpg
1-5-1024x548.jpg
1_-1-1024x637.jpg
1741353605894.jpeg
1_-2-1024x628.jpg
 
Sijamuona Comrade Ulega Waziri Wa Ujenzi
Zaidi Namuona Da Mhagama Waziri Wa Afya
 
Viongozi wetu wanachekesha sana.walivyo makini kusikiliza unaweza kufikiri wanafanya mambo makubwa ya kimaendeleo ya Nchi kumbe hakuna kitu Cha maana watakachofanya zaidi ya kuwaumiza watanzania
 
Genge la wapigaji na Dalali mkuu ktk picha ya pamoja.
KAZI ni kipimo cha utu
 
Nashindwa kuelewa, agenda kama usafiri wa udart hawajadili na kutoka na maazimio ya nini cha kufanya?
 
Viongozi wetu wanachekesha sana.walivyo makini kusikiliza unaweza kufikiri wanafanya mambo makubwa ya kimaendeleo ya Nchi kumbe hakuna kitu Cha maana watakachofanya zaidi ya kuwaumiza watanzania
Wenzao wakitoka kwenye vikao kama hivyo........

Vikao muhimu sana ili kuweka mikakati ya kuwatumikia wananchi.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 07 Machi, 2025.
1-4-1024x699.jpg
1_-1024x710.jpg
1._-1024x699.jpg
1-5-1024x548.jpg
1_-1-1024x637.jpg
View attachment 3262635
1_-2-1024x628.jpg
Sisi wananchi kama waajiri wao na uwajibikaji kwetu. Ingawa nikili sijui huwa wanajadili nini.

Nilitegemea hawa watu wakitoka hapo kila mmoja aje kwetu kutuambia:

1: Kwa mujibu wa dira ya wizara tuko hapa.

2: Kwa mujibu wa dhima ya wizara tumefikia hapa.

3: Kwa malengo tuliyojiwekea kama wizara tuko pale.

4: Tumefikia malengo kwa kadri tulipo.

5: Hatujafikia malengo kwa hapa tulipo kwa sababu hizi.

6: Mipindi kifuatacho tunaadhimia kufanya hivi na serikali imekubali kuongeza haya ili lile lifanyike au imekubali kuondoa hiki na kile.

7: Tutarajie haya ambayo tutayapima kikao kijacho, nikiwa na mrejesho wake.

Kwetu ni kimya kimya, kama bosi malengo yake hayajulikani, je wa chini yake anatengeneza malengo na kufanyiwa tathmini toka wapi na kwa jinsi gani?

Waziri anatoka hapo anaenda kufunga msuli ili kufatilia na kufanya utekelezaji zaidi maana kikao kijacho atatakiwa kuonyesha uwajibikaji.

Au hata kuwa na mazungumzo ya wazi na waandishi wa habari na wananchi kuhusiana na kazi za wizara zao. Ingawa waandishi wasiwe wa kuteuliwa au maelekezo maalumu.

Nawaza tu kwa kuandika.
 
Back
Top Bottom