Rais Samia Aongoza Kikao Cha Kwanza Cha Baraza la Mawaziri Ikulu Mpya ya Chamwino Dodoma

Rais Samia Aongoza Kikao Cha Kwanza Cha Baraza la Mawaziri Ikulu Mpya ya Chamwino Dodoma

Wanamchezea mama, yaani ni wanafiki Sana. Wanabadilisha sera ya elimu kivingine Wala si eneo lenye hitajio, WABADILI MITAALA SIO POROJO ZA KUPUNGUZA MADARASA.

Elimunkwa vitendo sio upuuzi waliokaa wachache na kuupitisha
 
Nothing special.
Siku hizi ninajiuliza kama hivi vikao ni vya kupewa taarifa na maagizo tu toka kwa Mwenyekiti, au kweli ni vikao vya kujadili mambo muhimu yanayohusu nchi?

Ndiyo maana ninakubaliana nawe kwenye hayo maneno mawili uliyotumia hapo.
 
Africa is changing

Ninakubaliana nawe kuhusu jibu ulilompa huyo mtu uliyemjibu kwa haya maneno machache; lakini sikubaliani nawe kwenye hayo ya mabandiko uliyoweka kama ushahidi, hasa hilo la mwanzo.
Naelewa Nigeria wameanza kujenga uwezo wa kufanya hayo wanayo tamani kuyapata.

Hapa kwetu ni maneno matamu yanayoambatana na upigaji unaoelekea kuonekana kuwa na ukichaa fulani kichwani.
Huu upigaji anaousimamia huyu mama sijui kama utatuacha salama.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri tarehe 24 Mei, 2023 ikiwa ni Kikao cha kwanza kufanyika kwenye Ofisi mpya ya Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tangu kuzinduliwa kwa Jengo hilo Jumamosi tarehe 20 Mei, 2023.
Samia ni mnafiki kwa kiwango cha juu tunaweza sema kiwango cha laami
 
Siku hizi ninajiuliza kama hivi vikao ni vya kupewa taarifa na maagizo tu toka kwa Mwenyekiti, au kweli ni vikao vya kujadili mambo muhimu yanayohusu nchi?

Ndiyo maana ninakubaliana nawe kwenye hayo maneno mawili uliyotumia hapo.
Ukimtoa saa100 pale hata kwa mwaka nchi inawezakupiga hatu mara 100 zaidi kuliko uwepo wake hapo ikulu
 
Back
Top Bottom