SI KWELI Rais samia apewa sifa kwa kufungua njia ya maridhiano na katiba mpya, Je, Heche ameyasema haya?

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Na Dr. Zack, Geita

Makamu Mwenyekiti wa Chama Bara, Mhe. Heche John, amepongeza juhudi zinazofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, katika kufungua njia ya maridhiano ya kitaifa na mchakato wa upatikanaji wa Katiba Mpya kwa kushirikisha wadau mbalimbali wa taifa.

Mhe. Heche alitoa kauli hiyo leo Mei 16, 2026 wakati wa uzinduzi wa Operesheni #KatibaMpya #FreeLissu uliofanyika katika Mji Mdogo wa Katoro, Mkoa wa Geita.

Akizungumza mbele ya mamia ya wananchi waliojitokeza katika mkutano huo, alisema kuwa juhudi za Rais Samia katika kuhimiza maridhiano na mazungumzo ya kitaifa ni hatua muhimu inayopaswa kuungwa mkono na Watanzania wote kwa manufaa ya taifa.

“Tunatambua juhudi za Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan za kutupatia Katiba Mpya kwa kushirikisha wadau wote. Hili sio jambo la kubeza hata kidogo, ni hatua njema kwa manufaa ya taifa, hivyo ni vyema kuunga mkono juhudi hizi za Mhe. Rais,” alisema.

Aidha, aliwataka wananchi kuendelea kulinda amani na mshikamano wa taifa huku wakishiriki kwa utulivu katika mjadala wa Katiba Mpya.

“Bila amani hata leo hii tusingekusanyika hapa kufanya siasa. Tunapaswa kulinda umoja wetu na kuhakikisha tunajenga taifa lenye mshikamano,” alisema.

Katika hatua nyingine, Mhe. Heche aliwataka wananchi kutowaunga mkono watu wanaochochea vurugu na migawanyiko badala ya kuimarisha maridhiano ya kitaifa.

“Wanaharakati wanaochochea vurugu kuliko maridhiano hawapaswi kuungwa mkono. Taifa letu linahitaji utulivu ili kufanikisha mchakato wa Katiba Mpya kwa amani,” alisisitiza.

Aliongeza kuwa baada ya uchaguzi mkuu kumalizika, nguvu za wananchi zinapaswa kuelekezwa katika kujenga taifa na kushiriki kwa amani katika mageuzi ya kisiasa na kikatiba.

“Uchaguzi umekwisha, sasa ni wakati wa kuingia kwenye mchakato wa kupata Katiba Mpya kwa amani na sio vurugu,” alisema.
20260421_091300.jpg
 
Tunachokijua
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeanza ziara yake yenye jina Operesheni Kaiba Mpya, Free Tundu Lissuufunguzi ulifanyika Mei 16, 2026 huko Katoro mkoani Geita, . Katika ufunguzi huo viongozi mbalimbali walizungumza ikiwemo Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche.

Madai

Baada ya mkutano huo zimesambaa Taarifa kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii ikieleza kuwa Heche amempa sifa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kwa kufungua njia ya maridhiano na katiba mpya.

Ni upi uhalisia wa madai hayo?

JamiiCheck imefuatilia kupitia marejeo ya video zilizochapisha na chaneli mbalimbali za mtandao wa Youtube kuhusu mkutano huo ambao pia John Heche alizungumza na kubaini kuwa madai hayo si ya kweli. Rejea hotuba hiyo hapa.

Katika hotuba yake John Heche alizungumza masuala mbalimbali ikiwemo kupongeza watu kuendelea kufuatilia chama chao, kufungwa kwa Mwenyekiti wao Tundu Lissu na mambo mengine.
View attachment 3589659

Na Dr. Zack, Geita

Makamu Mwenyekiti wa Chama Bara, Mhe. Heche John, amepongeza juhudi zinazofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, katika kufungua njia ya maridhiano ya kitaifa na mchakato wa upatikanaji wa Katiba Mpya kwa kushirikisha wadau mbalimbali wa taifa.

Mhe. Heche alitoa kauli hiyo leo Mei 16, 2026 wakati wa uzinduzi wa Operesheni #KatibaMpya #FreeLissu uliofanyika katika Mji Mdogo wa Katoro, Mkoa wa Geita.

Akizungumza mbele ya mamia ya wananchi waliojitokeza katika mkutano huo, alisema kuwa juhudi za Rais Samia katika kuhimiza maridhiano na mazungumzo ya kitaifa ni hatua muhimu inayopaswa kuungwa mkono na Watanzania wote kwa manufaa ya taifa.

“Tunatambua juhudi za Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan za kutupatia Katiba Mpya kwa kushirikisha wadau wote. Hili sio jambo la kubeza hata kidogo, ni hatua njema kwa manufaa ya taifa, hivyo ni vyema kuunga mkono juhudi hizi za Mhe. Rais,” alisema.

Aidha, aliwataka wananchi kuendelea kulinda amani na mshikamano wa taifa huku wakishiriki kwa utulivu katika mjadala wa Katiba Mpya.

“Bila amani hata leo hii tusingekusanyika hapa kufanya siasa. Tunapaswa kulinda umoja wetu na kuhakikisha tunajenga taifa lenye mshikamano,” alisema.

Katika hatua nyingine, Mhe. Heche aliwataka wananchi kutowaunga mkono watu wanaochochea vurugu na migawanyiko badala ya kuimarisha maridhiano ya kitaifa.

“Wanaharakati wanaochochea vurugu kuliko maridhiano hawapaswi kuungwa mkono. Taifa letu linahitaji utulivu ili kufanikisha mchakato wa Katiba Mpya kwa amani,” alisisitiza.

Aliongeza kuwa baada ya uchaguzi mkuu kumalizika, nguvu za wananchi zinapaswa kuelekezwa katika kujenga taifa na kushiriki kwa amani katika mageuzi ya kisiasa na kikatiba.

“Uchaguzi umekwisha, sasa ni wakati wa kuingia kwenye mchakato wa kupata Katiba Mpya kwa amani na sio vurugu,” alisema.
Kaka ofisi yako ina kazi nzito sana. Sijui kama wenyewe wanakuona ila wewe hauwafai.
 
Kazi na utu,
tusonge pamoja kwa upendo na umoja kulilinda na kulijenga taifa letu bila kujali vyama, dini au kabila.

Mungu Ibariki Tanzania 🔥
 
Na Mwandishi Wetu, Geita

Makamu Mwenyekiti wa Chama, Mhe. Heche John, amewataka wananchi wa Mkoa wa Geita na Watanzania kwa ujumla kuendelea kuwa mabalozi wa amani katika jamii zao huku akisisitiza kuwa mshikamano na utulivu wa nchi ni msingi muhimu wa maendeleo ya taifa.

Akizungumza leo Mei 17, 2026 katika mkutano wa mwendelezo wa Operesheni #KatibaMpya na #FreeLissu uliofanyika Geita Mjini, Kanda ya Victoria, Mhe. Heche alisema kuwa taifa linaendelea kushuhudia hatua muhimu za maridhiano zinazolenga kuimarisha umoja na kuleta mazingira bora ya kisiasa nchini.

Alisema serikali ipo katika hatua za mwisho za kuandaa mchakato mzuri wa maridhiano, jambo ambalo linapaswa kuungwa mkono na wananchi wote bila kujali tofauti zao za kisiasa.

“Ni wajibu wetu sote kulinda amani ya nchi yetu. Wananchi waendelee kuwa mabalozi wazuri wa amani katika maeneo yao ili taifa liendelee kuwa salama na lenye mshikamano,” alisema Heche mbele ya mamia ya wananchi waliojitokeza kwenye mkutano huo.

Katika hotuba yake, Mhe. Heche pia alitoa tahadhari kwa vijana dhidi ya kujihusisha na siasa za vurugu au kushawishiwa kufanya vitendo vinavyoweza kuhatarisha usalama na utulivu wa nchi.

Alisisitiza kuwa bila amani hakuna shughuli yoyote ya maendeleo inayoweza kufanyika kwa ufanisi, akitolea mfano umuhimu wa utulivu katika kukuza uchumi, biashara na uwekezaji.

“Vijana waepuke siasa za vurugu. Mazungumzo ndiyo njia sahihi ya kutatua changamoto zetu, na si maandamano yenye kuleta taharuki au kuvuruga shughuli za wananchi,” alieleza.

Aidha, alihimiza viongozi wa kisiasa, vijana na wananchi kwa ujumla kuendelea kutumia majukwaa ya majadiliano na maridhiano kama njia ya kujenga demokrasia yenye tija na kuimarisha mshikamano wa kitaifa.

Mkutano huo ni sehemu ya mwendelezo wa kampeni ya Operesheni #KatibaMpya na #FreeLissu inayofanyika katika maeneo mbalimbali nchini kwa lengo la kuhamasisha mjadala wa mageuzi ya kisiasa, utawala bora na maridhiano ya kitaifa.
 
Thank you comrade
 
Hivi Ally Kibao imeishia wapi?
 
Back
Top Bottom