Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akipokea taarifa ya Mradi wa Umeme Vijijini REA awamu ya tatu mzunguko wa pili kuungumza na wananchi wa Wilaya ya Iramba, Eneo la Shule ya Msingi Shelui leo tarehe 17 Oktoba, 2023.
Eng. Hassan Said, Mkurugenzi Mkuu wakala wa Nishati Vijijini amesema hadi mwaka 2020, 70% ya maeneo ya vijiji vyote nchini yalikuwa yamefikiwa na umeme. Tanzania ina jumla ya vijiji 12,318 ambapo hadi kufikia mwishoni mwa mwezi Septemba 2023, vijiji 10987 ambavyo ni sawa na 90% tayari vilikuwa vimefikishiwa umeme.
Vijiji 1331 ambavyo ni sawa na 10% tayari wakandarasi wapo wakitekeleza mradi huu.

Wananchi wa Shelui pamoja na Vijiji Jirani wakiwa kwenye Mkutano wa hadhara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan uliofanyika Shelui Mkoani Singida tarehe 17 Oktoba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwahutubia Wananchi wa Wilaya ya Iramba kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Shelui katika muendelezo wa Ziara yake ya Kikazi Mkoani Singida tarehe 17 Oktoba, 2023.