Rais Samia apongezwa kila kona ya nchi kwa msimamo wake wa kupeleka maendeleo kila mahali pasipo ubaguzi wala chuki



A dead Man walking
 
Wapiga zumari wa cham chakavu tulishawazoe hata Magufuli alipokuwa anapendelea nyumbani kwake Chato kupeleka maendeleo na kuwaona wananchi waliochagua wabunge na madiwani wa upinzani kama mashetani wasiotakiwa kufanyiwa jambo lolote la maendeleo napo mulikuwa mnapongeza.

Hebu lete maendeleo yanayopelekwa nyumbani kwa Samia tuangalie kama yako sawa na Yale yanayopelekwa sehemu zingine za nchi na usije ukadanganyika kuwa kulingana kwa asilimia za maendeleo yanayopelekwa ngazi ya mkoa na ngazi ya nchi ni sawa.
 
Hakuna bangili anayeweza kulindwa na Serikali yetu.kama unao ushahidi weka hapa mtu aliyelindwa kwa kufanya Vitendo vya ujangili au kufadhili au kuwezesha au kuchochea ujangili.weka ushahidi na siyo kuandika blaa blaa tu.
Kesi ya mbunge wa chama chakavu aliyekamatwa akujihusisha na ujangili iliishia wapi?
 
Kapeleka maendeleo kwa wakenya au kwa watanzania walipa kodi ambapo ni lazima kupata maendeleo na sio hisani!! NB: Kupeleka maendeleo sehem yoyote ya Nchi ni lazima na haipasw ku praise and worship kiongoz yoyote juu ya hilo!!
 
Kapeleka maendeleo kwa wakenya au kwa watanzania walipa kodi ambapo ni lazima kupata maendeleo na sio hisani!! NB: Kupeleka maendeleo sehem yoyote ya Nchi ni lazima na haipasw ku praise and worship kiongoz yoyote juu ya hilo!!
Andika kwa kutulia maana naona umeandika kama unakimbizwa .
 
Kesi ya mbunge wa chama chakavu aliyekamatwa akujihusisha na ujangili iliishia wapi?
Kwa hiyo kama hajakutwa na hatia ulitaka kesi iendelee wapi? Au kama ushahidi haukuwepo wa kuthibitisha pasipo kuacha shaka ulitaka kesi ielekee wapi?
 
Pako wazi mtwara usijali naamini muda wowote unakabidhiwa funguo.
 
Rais samia anapeleka maendeleo kila sehemu pasipo ubaguzi wa aina yoyote ile.
 
Eti Ndugu zangu ...Nani ndugu yako ?
Watanzania wote sisi ni Ndugu ndio maana tunaishi kwa upendo na mshikamano pasipo kuulizana habari za makabila yetu.Leo unaweza ikaenda popote pale na ukapokelewa vizuri na kuishi vizuri mpaka ukasau na kurudi ulikotoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…