Rais Samia apunguza gharama za matibabu ya figo kwa asilimia 66

Tunarudi kule kule "Raisi kafanya,Raisi katoa......."Kwani tukisema serikali imefanyaa........kuna upungufu gani?
 
Kwanini miaka yote hivo vitu havikuwepo ila leo kwa Samia?

Why mnataka tusiseme mambo makubwa yanayofanywa na Rais wetu?

Why? Why?
 
Daah i am speechless.....

Exquisite πŸ‘‹πŸ‘‹

Mh.Rais anatuachia ALAMA NZITO MNO daah
.....

Unapoongelea 1% ya VIFO VYOTE TANZANIA si takwimu ndogo daah....

SIEMPRE CHIFU MKUU HANGAYAπŸ’ͺ
 
Kuna watu hawapendi,

Wanatamani asingefanya haya watu wetu wafe

Rais amefanya hawataki tumtaje,

Hii nchi kiboko aise,

Kwamwendo huu wataumia sana na BP juu wasipoangalia,
Daah i am speechless.....

Exquisite πŸ‘‹πŸ‘‹

Mh.Rais anatuachia ALAMA NZITO MNO daah
.....

Unapoongelea 1% ya VIFO VYOTE TANZANIA si takwimu ndogo daah....

SIEMPRE CHIFU MKUU HANGAYAπŸ’ͺ
 
.........Kwani tukisema Rais kafanya kama mkuu wa serikali kunaupungufu gani? ......

Kuna upungufu mkubwa. Rais hafanyi na hawezi kufanya kila kitu yeye kama yeye. Ni sahihi kusema serikali imefanya au kama mnapenda tu ku-tag jina lake basi sema serikali anayoiongoza rais SSH lakini kusema Rais kafanya sio sahihi.
 
.........Kwani tukisema Rais kafanya kama mkuu wa serikali kunaupungufu gani? ......
Nahisi kuna mapungufu hasa kwa kuwa mara nyingi hatuchukulii U Rais kama taasisi bali individual.Tumeyaona kwa Magufuli mpaka Mkapa akakaripia.Raisi ni kiongozi wa serikali na tukitumia serikali inakuwa jumuishi zaidi kuliko Raisi (Stand to be corrrected again)
 
Kuna watu hawapendi,

Wanatamani asingefanya haya watu wetu wafe

Rais amefanya hawataki tumtaje,

Hii nchi kiboko aise,

Kwamwendo huu wataumia sana na BP juu wasipoangalia,
🀣🀣Hakika mkuu wangu

Yaani hawataki tumtaje kabisaaa ha ha ha

B.P ikiwapanda mno na magonjwa ya figo yakiwapata mashine za "DIALYISIS" zipo.....πŸ’ͺ

SIEMPRE JMT
 
Mama mwenye huruma Samia,

Chadema hawanaga jema,
Hawajawahi kuwa nalo.....

Kazi yao ni "kupinga na kukebehi" kila zuri la Serikali....

Wanatamani kusema hiyo picha ni "photoshoot" 🀣🀣
 
Umesoma leadership kweli wewe,

Leader anapokea vyote LAWAMA & SIFA,

Maajabu, Serikali ikifeli tunasema Rais kafeli,

Ila serikali ikifaulu mnataka tuseme Serikali imefaulu πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›

Honestly, We stand to be correct,
Kuna upungufu mkubwa. Rais hafanyi na hawezi kufanya kila kitu yeye kama yeye. Ni sahihi kusema serikali imefanya au kama mnapenda tu ku-tag jina lake basi sema serikali anayoiongoza rais SSH lakini kusema Rais kafanya sio sahihi.
 
Umesoma leadership kweli wewe,

Leader anapokea vyote LAWAMA & SIFA,

Maajabu, Serikali ikifeli tunasema Rais kafeli,

Ila serikali ikifaulu mnataka tuseme Serikali imefaulu πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›

Honestly, We stand to be correct,
😍
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…