Rais Samia apunguza gharama za matibabu ya figo kwa asilimia 66

Pendeleeni kusema Serikali ya CCM imefanya hivi na vile sio kutaja Watu-Hayati Benjamin Mkapa
 
Kama nchi tupo kwenye ombwe la kujitambua
 
Ulituambia inakuja bima ya kila mwananchi sasa hivi matibabu nafuu ya figo, haya yote ni mambo mazuri lakini husemi ni lini yanaanza utekelezaji?
 
Hivi mnalipwa kiasi gani hadi mnaleta propaganda nyepesi kiasi hiki.

Last week Maj Gen Dr wa JWTZ jina nimelisahau alitoa mchanganua namna walivyokwenda kiwandani na kufanikiwa kupata bei nafuu ya machine.

Najiuliza Samia kaingiaje hapo,mbona kama tunatumia nguvu nyingi kumpamba kwa mambo ambayo si yake.

Pengine tungetoa pongezi kwa Gen Mabeyo ningeelewa kidogo lakini hili la kupongeza kwa kila jambo sasa limekuwa mtihani kweli kweli.

Matundu ya vyoo yakijengwa utasikia Mama Samia,Mitaro Mama anaupiga mwingi jamani ebu tuache kukweza wanadamu wenzetu kwa kiwango cha kupitiliza.
 
Tunarudi kule kule "Raisi kafanya,Raisi katoa......."Kwani tukisema serikali imefanyaa........kuna upungufu gani?
Hao wanalipwa ili kufanya kazi ya kusifia na kuabudu
 
Kwanini miaka yote hivo vitu havikuwepo ila leo kwa Samia?

Why mnataka tusiseme mambo makubwa yanayofanywa na Rais wetu?


Why? Why?
Ebu wacha ulevi wa kayoga asubuhi hii yote
 
Mimi ni Chadema ila hii "ID" inatupa sana shida hapa JF,

CCM imekuja kivingine Sana na ndio maana CCM inaweza kutawala milele kama sisi mwendo wetu ndio huu wa matusi na kejeli kwenye hoja kubwakubwa kama hizi,

Wakati Sisi tunaishia kutukana na kutoa kashfa wenzetu CCM wanajenga hoja kwa wananchi,

Badala ya kutukana mtoa hoja tujibuni hoja zake,
Na wewe umeshakuwa rimbukeni tu kila mda mama mama! Mwambie ukunyonyeshe! Halafu ameahidi ndo unakuja kuleta umbea hapa!
 
Mama mwenye huruma Samia,

Chadema hawanaga jema,
Chadema haihusiki hapa,serikali inatekeleza majukumu yake,hata ingekuwa serikali ya act wazalendo,chadema,chauma n.k ingefanya hayo hayo.
Watanzania wameshafunguka.Ukitaka kufahamu hilo ipatikane tume huru ya uchaguzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…