Rais Samia apunguza gharama za matibabu ya figo kwa asilimia 66

Hama Chadema maramoja
 


🚮🚮🚮Tawala na wewe wakusifie wivu ukuishe
 
Hata hyo laki bado ni kubwa mno .kawaida mgonjwa anatakiwa afanyiwe mara tatu kwa wiki so ni laki tatu kwa wiki
Duh asiyeshiba kwenye sahani hata ukimpa kwenye sinia hato shiba...yaani gharama kupunguzwa toka laki tisa (900000) kwa wiki hadi laki tatu (300000) hata japo kusema afadhali huwezi.....mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni kwa hili kama ni kweli nampongeza Rais Samia
 


Endelea na kazi ,unafanya kazi nzuri, Wazalendo tunakuelewa usikate tamaa,
 
Kwenye hiyo habari ya kingereza hata clip sijaona/ kusikia Rais Samia akitajwa.
 
Hakuna kitu hapo bado ghalama ni kubwa sana.
 
Hakuna kitu hapo bado ghalama ni kubwa sana.
Ndio najua gharama bado ni kubwa sana...lakini kumepatikana unafuu mkubwa sana..sio hakuna kitu...sasa ulitaka aondoe kabisa hizo gharama!
 
Suluhisho ni bima ya afya kwa kila mtanzania hapo ndio ntaamini hangaya bado hajachoka anazipiga ndefu ndefu ...auze hata mabombadia ma tano tupate bima mzigo auweke nssf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…