Rais Samia apunguza gharama za matibabu ya figo kwa asilimia 66

Watu wa Mungu hawasalimiani kwa jina la JMT.
 
Hongera Sana kwa serikali ya awamu ya sita. Wiki chache zilizopitiliza tulisikia Bima ya Afya. Hivi vitu tulidhani Ni nchi tajiri kumbe hata TZ kunawezekana kukaswa na 'OBAMA CARE'.

Ukijumlisha na vifaa Tiba vya kutosha kama hivi na unafuu wake na vituo vya afya vinavyojengwa kupitia tozo za mihamala, kuajiri watumishi sekta ya afya n.k bila shaka Tanzania inaenda kuwa ya mfano barani Afrika.
 
Kwani yeye ndio wakwanza kutawala Tanzania?

Mbona hatukuwa na hizo dialysis machine?

Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni,
Hatukuwahi kuwa nazo kwa sababu ya wajinga kama nyie ambao mnadhani Serikali kutekeleza jambo flani ni hisani.Watu wakihoji mnaona hawanazo.

Issue za machine kama hizo ikitakiwa tuwe nazo kwenye kila kituo cha Afya miaka mingi iliyopita.
 
Acha maneno mengi, Ipo siku nawewe mashine hizi zitakusaidia na kama si wewe basi ndg zako au jirani zako,
Mwambie huyo kama hujakutana na gharama zinazhitaji matumizi ya mashine hizi huwezi jua
 
Akili kubwa sana hii,

Wakati wote umekuwa mzalendo kwa nchi yako,

Tuko pamoja sana Chief,
 




Hongera mama Samia,

Unafanya kazi nzuri sana,

Watanzania tulio wengi tunakuunga mkono sana,
 
Mwambie huyo kama hujakutana na gharama zinazhitaji matumizi ya mashine hizi huwezi jua
Watu wengi wamezikwa kwa kushindwa kumudu hizo gharama, ugonjwa wa figo usikie tu, kuna hospitali unakuta gharama 350,000 kwa siku inabidi mtu asafishe damu mara 3 kwa wiki hiyo ni 1,050,000 na kila akiingia ni masaa 4, akitoka hapo yupo chakari hawezi kufanya shughuli yoyote ya kuingizia kipato angalau yapunguze machungu ya gharama za matibabu, bado diet special...kuna watu wanapitia mateso aisee acha tu !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…