Rashda Zunde
JF-Expert Member
- May 28, 2022
- 297
- 285
Rais Samia Suluhu Hassan ameridhia kusamehewa riba ya kodi ya pango la ardhi kwa wadaiwa sugu kwa masharti kwamba wadaiwa hao wawe wamelipa madeni ya msingi ndani ya miezi sita kuanzia mwezi Julai hadi Desemba 2022.
Mama Samia ameridhia kupitia waziri wa fedha kwa kushirikiana na waziri wa ardhi waweke utaratibu mzuri wa kuondolewa tozo ile na msamaha ni wa miezi sita tu kama una ndugu mpigie simu mwambie Serikali ya awamu ya sita chini ya Mama Samia imetoa msamaha kwa wadiwa sugu ili watoke katika jina baya la wadaiwa sugu kwenda kulipa madeni bila riba.