Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,278
- 797
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona ni wale wale.Sawa kaimu Mkurugenzi mawasiliano Ikulu
Mkuu rais wenu au Rais wa JMT???Tuna imani kubwa sana na Rais wetu na tunampenda sana mpaka tunabubujikwa na Machozi ya Furaha na upendo kwake.
Ndio maana tunakuwa wakali na wachungu sana sana na wenye hasira kali sana tukiona Rais wetu akitukanwa na mtu yeyote yule.