Rais Samia aridhia ombi la kuwepo kwa siku maalumu kwa Mashirika ya Umma kutoa gawio kwa Serikali

Rais Samia aridhia ombi la kuwepo kwa siku maalumu kwa Mashirika ya Umma kutoa gawio kwa Serikali

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,278
Reaction score
797
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

20240611_194439.jpg
 
Tuna imani kubwa sana na Rais wetu na tunampenda sana mpaka tunabubujikwa na Machozi ya Furaha na upendo kwake.

Ndio maana tunakuwa wakali na wachungu sana sana na wenye hasira kali sana tukiona Rais wetu akitukanwa na mtu yeyote yule.
 
Mkuu rais wenu au Rais wa JMT???
 
Kwahiyo haya mashirika yanajikusanyia pesa yenyewe kwenye akaunti zao.?
Wanajilipa posho, mishahara na matumizi mengine ya ofisi.?
Kinachobaki ndio kinaenda hazina.?
 
Hongera Kwa reforms kubwa,Watendaji wakuu wa taasisi Za umma wateuliwe Kwa traits Za kukuza na kuendesha Kwa tija mashirika na taasisi Za umma na pia taasisi ambazo Serikali Ina hisa

Tunaweza
 
Hongera yako sana tu, Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu.
Nadhani ni Press Release ya mwanzo baada ya aliyekuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu toka alivyopangiwa kazi nyingine.
Mwenyezi Mungu akujaaliye uwe ''Chura"
Ikimpendeza Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan akuidhinishe AMINA
 
I recommend that any transformation starts with articulating organisation’s vision, mission, and core values. Once that’s done, Boards should map out a strategic roadmap that outlines specific milestones, timelines, and success metrics. With this foundation, Government entities and parastatals will have a unified purpose that fuels their efforts and keeps them on successful track hence contributes heavily in our treasury and sustainable development .
 
Back
Top Bottom