Ndugu zake na Lucas Mwashambwa hawa akili ni kucheka ngoma pekeeRais Samia amesema mikoa mingi yenye mazao ya biashara maendeleo yao yanaonekana ukipita barabarani. Rais Samia amesema hali ni tofauti kwa mikoa ya kusini ambako wanalima mazao ya korosho, ufuta na mbaazi.
Amesema mikoa hii wakipata hela ni ngoma kichochoro mpaka kichochoro, ametaka wapelekewe elimu ya fedha.
Ndo ushangae pale kikongwe anavyoojaribu kuhifanya financial manager. Juzi amepata urais kwa bahati mbaya akaenda kununua saa ya milion 125Elimu ya darasani tu wanaikimbia, vipi hiyo ya fedha?
🤣🤣🤣Ndomana nikauliza ye ana elimu au ilmu gani ya fedha???Ndo ushangae pale kikongwe anavyoojaribu kuhifanya financial manager. Juzi amepata urais kwa bahati mbaya akaenda kununua saa ya milion 125