Pre GE2025 Rais Samia Asema UVCCM isiwe sehemu ya kungoja vyeo kutoka serikalini au kusubiri kuwaunga mkono wagombea

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Lucas hilo lakoo na limekufikiaa haswaaaa.
Ukome kuweka hizo namba zako. Poleee wee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi wala sitishwi na mafisi na nyumbu wa CHADEMA .mimi ni kazi kazi kwa kwenda mbele tu.
 
Hili mbumbumbu (Lucas) Kila mtu analikataa ila yeye anakua mbishi, ni ushamba na upunguani unaoufanya maana unashida kdg ktk kufikiri mkuu. Elewa unachoambiwa, na nyuzi zako zinaboa sana...
Fanya kazi zako bwana, unajaza server tu Kwa upuuzi unaoufanya, na uteuzi hutokuja kupata maana huna akili
 
Ukweli'mchungu kwako Lucas [emoji23][emoji23]
Jamaa alivyo zuzu kashindwa kutambua kua ana husika yeye na minamba yake ya simu anayo post[emoji16][emoji16] ila SAMIA ni mnafiki sana mbona wanawake waliopo sisiemu wanao tumia tobo zao mbili ili kusubiri kupewa uongozi kwa hisani ya hizo tobo ajawasema.....au ndiyo NYANI KAONA KUNDULE [emoji848][emoji848] [emoji725][emoji725][emoji725]
Lucas mwashambwa
 
Ndugu zangu Watanzania,

Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania na Amiri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama Mheshimiwa Dkt Mama Samia Suluhu Hasssan mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika jasiri muongoza njia,simba wa nyika, komandoo wa vita,nuru ya wanyonge,nyota ya matumaini ameyasema hayo huko visiwani Zanzibar.

Kwa ujasiri na umadhubuti mkubwa kama kawaida yake amesema ya kuwa UVCCM pasiwe mahali pa kusubiri vyeo kutoka serikalini au kungoja kuwaunga mkono wagombea .bali UVCCM pawe mahali na sehemu ya kulinda ,kutetea na kupigania nchi yetu,uhuru wetu na mapinduzi matukufu ya Zanzibar.

Rai yangu kwa vijana wa UVCCM ni kuwa tuendelee na tuwe mstari wa mbele kuchapa kazi kwa kwenda mbele, lakini pia katika kila uchaguzi tuhakikishe kuwa tunajitokeza kwa wingi kuchukua Fomu za kugombea uongozi kuanzia ngazi za serikali za mitaa yaani uenyekiti .pia wakati wa uchaguzi mkuu kuchukua Fomu za udiwani na ubunge.

Sisi UVCCM tuache tabia za kupigana vita sisi kwa sisi na kuoneana wivu sisi kwa sisi.tuache fitina na roho mbaya sisi kwa sisi. Kama kuna kijana mwenzetu tunaona ana uwezo wa kiuongozi lakini hana uwezo wa kifedha basi hatuna budi kumsaidia kuchangia mia mia ili achukue Fomu na kugombea uongozi utakaoleta matokeo chanya kwa wananchi .lakini pia tupatapo uongozi katika ngazi za aina yoyote ile tufanye kazi kwa juhudi,maarifa na uadilifu wa hali ya juu sana.

Tufanye kazi kwa utulivu,nidhamu na kuwa na hofu ya Mungu. tuwe wakarimu na wanyenyekevu kwa wale tuwaongozao, tusiwe majeuri,viburi,kujitutumua ,waonevu ,kuumiza wenzetu au kulipa visasi kwa watu. Umoja wetu ndio uwe nguvu yetu vijana .apatapo mmoja wetu uongozi tuone tumepata sote na tumpe ushirikiano badala ya kutaka kumkwamisha na kumshusha au kumpiga Majungu na fitina yule anayekuwa amepata.jambo hili haliwezi kutusaidia zaidi ya kutudhalaulisha mbele ya viongozi wetu na wananchi kwa ujumla wake kwa kuonekana ni vijana wa hovyo hovyo tu.

Ni lazima tuwe wa mifano kitabia na kiuongozi tupatapo uongozi .nje na hapo tutaendelea kudharaulika na kuitwa machawa yasiyo na akili wala kujitambua ,.ni lazima tuwe na uwezo wa kujenga hoja na kuwa watafiti ,ni lazima kabla ya kuzungumza tujuwe tunataka kuzungumza nini na kwanini tuzungumze.tuwe watulivu katika kujenga hoja na siyo kupayuka na kujaa mihemuko.

Nimewahi kuwa kiongozi wa UVCCM katika kata yangu kwa kuwa katibu wa UVCCM kata niliona na kujionea mengi.kikubwa nachoweza kusema ni kuwa mara nyingi tunakwamishana sisi kwa sisi na kuumizana sisi kwa sisi.kama hatutabadilika basi hakuna atakayekuwa na imani na sisi zaidi ya kutuchukulia kama kundi la vijana wasaka tonge tu na wabeba mikoba ya wagombea ili kutupiwa mifupa na ambao bado hatujaiva na kukomaa kupewa uongozi wa aina yoyote ile .

Ni lazima tuwe chachu na chemchemi ya fikira chanya kwa chama chetu.ni lazima tuwe na tuonyeshe kuwa sisi ni vijana tulioiva ,kukomaa,kupevuka na tunaoweza kubeba majukumu ya aina yoyote ile ya kiuongozi na tukayamudu na kuyafanya vizuri kabisa bila tatizo. Vijana tuwe wamoja,tusibezane,tusipigane Majungu,fitina,kuoneana wivu pale mwenzetu anapopata nafasi.

Tumsaidie yule kijana tunayeona anaweza kufanya vyema katika uongozi wa kuchaguliwa kwenda halmashauri kama diwani au bungeni kama mbunge .tusisemee kwanini aende yeye na mimi nibaki. Bali tuseme ngoja aende ili nasi kesho tupate kuaminika katika jamii kuwa vijana tunaweza. nje na hapo tutabakia kuwa wasindikizaji tu na wabeba mikoba ya wagombea miaka nenda rudi huku umri ukienda kwa kasi ya mshale.

Mheshimiwa Rais wetu mpendwa na mwenyekiti wetu amekuwa na upendo mkubwa sana na sisi vijana, ndio maana amekuwa akitupatia na kutuamini vijana katika nafasi mbalimbali za uongozi.hivyo hatuna budi kufanya vizuri na kutekeleza vyema majukumu . Tusimkatishe tamaa katika moyo alionao wa kutupenda vijana na kutujali ,kutulea na kutukuza kiuongozi kama wanae.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Mkuu nakuunga mkono
👍👌👏🙏💐🎁🎖️🏆🆒
 
Mwashamvwa ni sawa na kibaka anayeambiwa acha kuwa kibaka, halafu tena yeye kibaka anakuwa wa kwanza kutamka kuwa anaunga mkono tamko la kiongozi la kusema aache ukibaka, tena anayatamka hayo wakati akiwa njiani kuelekea kukwapua.

Mwashambwa, Rais amekuona, na ameielewa dhamira yako chafu. Amekuambia acha kusubiria cheo kwa kutoa rushwa ya sifa za kinafiki. Hujaelewa, unaendelea kubandika kanamba kako ka simu!! Pole sana. Rais atakuwa anajuta kusifiwa na mtu kama wewe ambaye hujitambui wala kujielewa.
🤣🤣🤣
 
Jamaa alivyo zuzu kashindwa kutambua kua ana husika yeye na minamba yake ya simu anayo post[emoji16][emoji16] ila SAMIA ni mnafiki sana mbona wanawake waliopo sisiemu wanao tumia tobo zao mbili ili kusubiri kupewa uongozi kwa hisani ya hizo tobo ajawasema.....au ndiyo NYANI KAONA KUNDULE [emoji848][emoji848] [emoji725][emoji725][emoji725]
Lucas mwashambwa
Jitahidi kuwa mstaraabu na kutumia lugha za hekima, busara na staha.
 
Du[emoji849][emoji849] staha gani tena ....wakati hapo nimeongea lugha ya shaha kama mitume au nabii[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
 
Fanya unachokiamini buana.maana uzalendo ni tabia ya mtu usiwafundishe
 
Ndugu zangu Watanzania,

Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania na Amiri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama Mheshimiwa Dkt Mama Samia Suluhu Hasssan mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika jasiri muongoza njia,simba wa nyika, komandoo wa vita,nuru ya wanyonge,nyota ya matumaini ameyasema hayo huko visiwani Zanzibar.

Kwa ujasiri na umadhubuti mkubwa kama kawaida yake amesema ya kuwa UVCCM pasiwe mahali pa kusubiri vyeo kutoka serikalini au kungoja kuwaunga mkono wagombea .bali UVCCM pawe mahali na sehemu ya kulinda ,kutetea na kupigania nchi yetu,uhuru wetu na mapinduzi matukufu ya Zanzibar.

Rai yangu kwa vijana wa UVCCM ni kuwa tuendelee na tuwe mstari wa mbele kuchapa kazi kwa kwenda mbele, lakini pia katika kila uchaguzi tuhakikishe kuwa tunajitokeza kwa wingi kuchukua Fomu za kugombea uongozi kuanzia ngazi za serikali za mitaa yaani uenyekiti .pia wakati wa uchaguzi mkuu kuchukua Fomu za udiwani na ubunge.

Sisi UVCCM tuache tabia za kupigana vita sisi kwa sisi na kuoneana wivu sisi kwa sisi.tuache fitina na roho mbaya sisi kwa sisi. Kama kuna kijana mwenzetu tunaona ana uwezo wa kiuongozi lakini hana uwezo wa kifedha basi hatuna budi kumsaidia kuchangia mia mia ili achukue Fomu na kugombea uongozi utakaoleta matokeo chanya kwa wananchi .lakini pia tupatapo uongozi katika ngazi za aina yoyote ile tufanye kazi kwa juhudi,maarifa na uadilifu wa hali ya juu sana.

Tufanye kazi kwa utulivu,nidhamu na kuwa na hofu ya Mungu. tuwe wakarimu na wanyenyekevu kwa wale tuwaongozao, tusiwe majeuri,viburi,kujitutumua ,waonevu ,kuumiza wenzetu au kulipa visasi kwa watu. Umoja wetu ndio uwe nguvu yetu vijana .apatapo mmoja wetu uongozi tuone tumepata sote na tumpe ushirikiano badala ya kutaka kumkwamisha na kumshusha au kumpiga Majungu na fitina yule anayekuwa amepata.jambo hili haliwezi kutusaidia zaidi ya kutudhalaulisha mbele ya viongozi wetu na wananchi kwa ujumla wake kwa kuonekana ni vijana wa hovyo hovyo tu.

Ni lazima tuwe wa mifano kitabia na kiuongozi tupatapo uongozi .nje na hapo tutaendelea kudharaulika na kuitwa machawa yasiyo na akili wala kujitambua ,.ni lazima tuwe na uwezo wa kujenga hoja na kuwa watafiti ,ni lazima kabla ya kuzungumza tujuwe tunataka kuzungumza nini na kwanini tuzungumze.tuwe watulivu katika kujenga hoja na siyo kupayuka na kujaa mihemuko.

Nimewahi kuwa kiongozi wa UVCCM katika kata yangu kwa kuwa katibu wa UVCCM kata niliona na kujionea mengi.kikubwa nachoweza kusema ni kuwa mara nyingi tunakwamishana sisi kwa sisi na kuumizana sisi kwa sisi.kama hatutabadilika basi hakuna atakayekuwa na imani na sisi zaidi ya kutuchukulia kama kundi la vijana wasaka tonge tu na wabeba mikoba ya wagombea ili kutupiwa mifupa na ambao bado hatujaiva na kukomaa kupewa uongozi wa aina yoyote ile .

Ni lazima tuwe chachu na chemchemi ya fikira chanya kwa chama chetu.ni lazima tuwe na tuonyeshe kuwa sisi ni vijana tulioiva ,kukomaa,kupevuka na tunaoweza kubeba majukumu ya aina yoyote ile ya kiuongozi na tukayamudu na kuyafanya vizuri kabisa bila tatizo. Vijana tuwe wamoja,tusibezane,tusipigane Majungu,fitina,kuoneana wivu pale mwenzetu anapopata nafasi.

Tumsaidie yule kijana tunayeona anaweza kufanya vyema katika uongozi wa kuchaguliwa kwenda halmashauri kama diwani au bungeni kama mbunge .tusisemee kwanini aende yeye na mimi nibaki. Bali tuseme ngoja aende ili nasi kesho tupate kuaminika katika jamii kuwa vijana tunaweza. nje na hapo tutabakia kuwa wasindikizaji tu na wabeba mikoba ya wagombea miaka nenda rudi huku umri ukienda kwa kasi ya mshale.

Mheshimiwa Rais wetu mpendwa na mwenyekiti wetu amekuwa na upendo mkubwa sana na sisi vijana, ndio maana amekuwa akitupatia na kutuamini vijana katika nafasi mbalimbali za uongozi.hivyo hatuna budi kufanya vizuri na kutekeleza vyema majukumu . Tusimkatishe tamaa katika moyo alionao wa kutupenda vijana na kutujali ,kutulea na kutukuza kiuongozi kama wanae.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
UVCCM ni MACHAWA yanayosubiri TEUZI Uchaguzi ikifika watawabebea mabegi wagombea
 
Back
Top Bottom