Rais Samia ashiriki Hafla ya Uzinduzi wa Mpango wa Block Farming, Dodoma - Machi 20, 2023

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Hafla ya Uzinduzi wa Mpango wa Block Farming katika Programu ya Building Better Tomorrow (BBT) eneo la Chinangali, mkoani Dodoma leo tarehe 20 Machi, 2023.

41610D56-4978-4FF0-9D70-58DF55704DE5.jpeg
 
RAIS SAMIA KUZINDUA MPANGO WA MASHAMBA MAKUBWA KATIKA PROGRAM YA BBT- ASUBUHI HII.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ni mgeni rasmi katika hafla ya Uzinduzi wa Mashamba makubwa ya pamoja katika programu ya Building Better Tomorrow (BBT). Hafla hii inafanyika katika viwanja vya Chinangali Jijini Dodoma kuanzia saa 5: 30 asubuhi hii.

Fuatilia mubashara matangazo haya kupitia Televisheni na mitandao ya kijamii.

-238719029.jpg

#Hakunakilichosimama
#KaziInaendelea.
 
hizo ni ghost project ziatishia kwenye media tu lkn utekelezaji wake ni mgumu sana ni kama ilivyokuwa kwa vijiji vya ujamaa vilivyoanzishwa na hayati jkn.kilimo bila maji halafu utegemee mvua ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu.
 
Vijana wamesha pangiwa vituo vya kujifunza gharama zote za serikali. Kwa ubia wa NMB na other private sectors waki maliza ni mtelezo tu acheni wivu kwenye baadhi ya mambo..kufikia mwezi wa 8 mtakua mme pata feedback
 
Kwamba watalima Mwezi wa 8?

Huo mradi kuanza onesha matunda ni miaka 3 ijayo

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Namaanisha watakua wame anza process maana ni kilimo cha umwagiliaji
Kilimo Cha umwagiliaji? Maji wanayatoa wapi maana walisema kuna ukame na kilia daliwa hadi kipindi kuonyesha kuwa nchi inakumbwa na ukame. Au huu ukame ni kwenye umeme tu sio huko kwenye kilimo?
 
Hili suala la leo yupo Dar kesho yupo dodoma liangaliwe mara 2 hatuwezi kuibeba hii gharama watanzania achaguwe ikulu moja ya kufanyia kazi.
Ile ndege kwa sasa ndio inatumika, anakuja Dar kimya kimya, anarudi Dodoma kimya kimya.

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Kilimo Cha umwagiliaji? Maji wanayatoa wapi maana walisema kuna ukame na kilia daliwa hadi kipindi kuonyesha kuwa nchi inakumbwa na ukame. Au huu ukame ni kwenye umeme tu sio huko kwenye kilimo?

Water basin ni kubwa sana Dodoma, na maji mengine for irritation schemes yanaweza patikana kwenye Man made dams kubwa kubwa na kuvuna maji ya mvua for all season ya kilimo na pia waki drill maji mengi sana Dodoma. Acha kuwa short sighted, myopic..!!
 
Mvua zipi na maji yapi Tena? Unajua huwa ni kama hamueleweki huko. Dodoma hii kila siku humu mnalalamika ukame

Tukubaliane hizi habari za ukame sio za Kweli, lakini ikiwa ni hivyo basi Kuna waziri ni muongo
 
Ndio kusema ule mpango wa miaka kumi wa kuendeleza sekta ya kilimo awamu ya pili aliouzindua JPM umekufa?
 
Back
Top Bottom