Rais Samia ashiriki Hafla ya Uzinduzi wa Mpango wa Block Farming, Dodoma - Machi 20, 2023

Hili suala la leo yupo Dar kesho yupo dodoma liangaliwe mara 2 hatuwezi kuibeba hii gharama watanzania achaguwe ikulu moja ya kufanyia kazi.

Kama hizo fedha hazivujii jasho wala hawezi kujali hilo.
 

Una hoja za msingi.
 
Una hoja za msingi.
Ni uhalisia biashara ni science ya ‘people management’ ndio maana kuna HR department na theories za team working.

Sasa wewe ujiokotee watu tu ambao hawajuani uwape mradi bila ya supervision, wala mazingira ya kutengeneza team working kisayansi ni swala la muda tu kabla ya migogoro.

Ni bad plan
 
Nakubaliana nawe kabisa, sio kwamba wakulima hawazalishi, wanazalisha sana, ila kuna wizi mkubwa sana kwenye manunuzi. Leo huko mashambani hakuna vile vipimo halisi kwa maana ya halisi "kilogram' wanunuzi wanakuja na vipimo vyao vya kumnyonya mkulima (ndoo zinazo beba 25kgs badala ya 20kgs, matenga - nayo ni mizani n.k) Naona hata Serikali imehalisha vipimo hovyo maana hawachukui hatua zozote za kukemea wizi huu.. Maafisa Watendaji wa Vijiji na Kata wapo, Mdiwani wapo, Ma-bwana na Bibi shamba wapo hata Wakuu wa Wilaya wapo lakini hakuna anayechukua hatua za kukomesha wizi.huu. Kwa ujumla hakuna anayejali, ilihali ni moja ya kazi yake ALIYO APA KUITEKELEZA.
Unakumbuka Big Result Now ilivyofeli???
Mkuu naona walilipenda tu hilo neno "Big Result Now" maana linapendeza kwenye kutamka lakini halikufanyiwa uchambuzi yakinifu.
 
Ndugu ni MAUMIVU KILA KONA, kwenye miradi ya uvuvi pia wanatuletea ujinga wa namna hii. Boti, vizimba, vifaranga vya samaki na chakula cha samaki vyote vinanunuliwa na Wizara kisha kukabidhiwa kwa Wavuvi badala ya kutoa mikopo ya pesa kisha wavuvi wajinunulie wenyewe mahitaji.
Hizi GHOST PROJECTS ni kama ile miradi ya Mtoto wa Museven kule Uganda, hopeless kabisa
 
Mama anashauriwa na MBUMBUMBU huko serikalini, viongozi wa ovyo kuwahi kutokea nchini
 
Bashe hana uwezo huo ndio ukweli wenyewe.

Kwenye kilimo kuna sera nzuri sana za large scale farming. Yaani nashangaa mtu ukanunue basi ishirini kwa mpigo uache kwenda kulima.

Serikali badala itangaze sera zilizopo kwenye kilimo kikubwa wanaangaika kupoteza hela kwa schemes za ovyo ambazo sio sustainable.
 
hizo ni ghost project ziatishia kwenye media tu lkn utekelezaji wake ni mgumu sana ni kama ilivyokuwa kwa vijiji vya ujamaa vilivyoanzishwa na hayati jkn.kilimo bila maji halafu utegemee mvua ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu.
Hivi umejiridhisha namna huo mradi unavyotekelezwa? Je huo mradi unategemea mvua? Yaani watanzania ni viumbe wengine kabisa duniani.
 
Ninatamani sana nchi yangu ifanikiwe, ila sasa wanasiasa wanapenda mno shortcuts.....Any way let us wish them all the best
 
Nimeona baadhi ya wachangiaji wakiudhihaki huu mradi na kutabiri kua utaenda kufa. Lakini ikitokea mradi ukaleta matokeo mazuri hao ndio watakua wa kwanza kutafuta kasoro kuhalalisha kile walichokitabiri awali. Si dhambi kukosoa au kushauri ila ni dhambi kusema moja kwa moja kua mradi utafeli bila kufahamu tahadhari zilizochukuliwa dhidi ya mradi huu.

Pia niwakumbushe tu mkakati wa kilimo kwanza kamwe haufanani na mkakati huu aliokuja nao Bashe hata kidogo. Kilimokwanza ulikua mkakati wa kisiasa zaidi wakati huu ambao bashe ameamua kuja na mkakati wa BBT Ambao umepata baraka za moja kwa moja kutoka kwa Rais na tayari utekelezwaji wake tayari umekwishaanza.

Binafsi nayaona mawazo na maono mazuri ya Mh. Bashe katika kuhakikisha kilimo kinapewa nafasi stahiki na zaidi kushilikisha vijana. Endapo mradi huu ukifanikiwa basi kwa kiasi kikubwa utakwenda kuinua uchumi wa taifa hili Sambamba na kutoa ajira lukuki kwa vijana.

Kuna msemo unaosema " NI BORA KUJARIBU NA UKASHINDWA, KULIKO KUSHINDWA KUJARIBU"

haya mawazo ya kukosoa kwasababu tu yanatoka katika utawala ambao hatuuhitaji kwasasa tusiyape nafasi, mambo ya maendeleo kama haya tunapaswa kuunga mkono kwasababu watangulizi hawakuthubutu kabisa hata kufikia hatua hii aliyoifkia bashe.



Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Kumbe unaongea na kubisha vitu usivyovielewa!

"Kila kijana anapewa eka 10 zake mwenyewe na hapo ni kituo cha mafunzo tu na eka kumi atagaiwa kila mmoja anaepitia hapo na kwenye vituo vingine kama hivyo, vinasambazwa maeneo yote muhimu Tanzania. Chukulia hiyo ni mfano wa veta ya kilimo


Sasa yawe vipi ya mtu mmoja mmoja zaidi ya hivyo?
 
Sasa wale wenye degree ya kilimo kabisa walipoteza miaka yao chuoni? Je wale ambao wanalima tangu kuzaliwa kwao hao hiyo VETA yao itaratibiwa lini?

Madam naona dhamira ni njema ila hiijuhudi inahitaji maarifa ndani mwake...Naiombea mafanikio plan hii, ila 5 years down the lane huyu mwandishi anawezaonekana kama nabii....I also see what he sees, we might be wrong, let time decide for this!
 
What am worried ni kama hizi pesa zingetumika kufuata appropriate strategies, basi ilikuwa ni revolution kwenye sekta....Tatizo kuna siasa zaidi kuliko expertise ndani yake....Tutafanikiwa kuwatuliza vijana kwakuwapa high expectations, lakini when the realities unveil huko mbeleni matarajio haya yanaweza yakazaa kukata tamaa kwamba kilimo hakiwezekani na tutaanza tena witch hunting badala ya kuona a big picture of what is being done wrong as from the conceptual frame work of this
 
Nakushauri kabla hujauliza maswali yaliojielekeza kwenye ubishi ws kijinga na sio kutaka kuuelewa huo mpango, anza kwa kuutazama huo mpango, kuusikiliza kwa utuvu na kuusoma vizuri. Utapata majibu.
 
Reactions: Ame
Ni attitude ile ile inayotafuna nchi yetu..."ku train" in an abstract way kama ambavyo wanafanya serikalini seminar zisizo na tija....Geting quick cash for executives huku on grounds kukiwa hakuna physical manifestation....Daah any way, sometimes there can be blessings in the disguise!
 
Nakushauri kabla hujauliza maswali yaliojielekeza kwenye ubishi ws kijinga na sio kutaka kuuelewa huo mpango, anza kwa kuutazama huo mpango, kuusikiliza kwa utuvu na kuusoma vizuri. Utapata majibu.
Ninauelewa madam, nisingechangia kama nisingeusoma....Ni dhamira yangu njema kabisa kwa taifa kama uliyonayo wewe ila tukiwa na mtizamo unao kinzana kwakua pengine tuna background na experiences tofauti
 
Hivi do we need to train or to do
Wacha uzushi mbona shambani chadema wapo pia
Kama kawaida, mpo kisiasa zaidi kuliko kuona the technical problems ndani ya hii concept....Hivi wakiwa ama uVCCM au CHADEMA siyo watanzania?

Tatizo ni je ukiacha wahusika is that project viable,sustainable, can it increase people's welfare? Who are gainers and who are losers how and how can the losers be compansated?

Nitoe mfano, unapo exert competition kwa wakulima ambao mpaka sasa marginal returns zao ni almost zero lakini wame occupy vast land, huku hiyo livelihood kwao ikiwa ni for cash na for food security, unapo fanya hii substitution ikifanikiwa hao vast majority income waliyokuwa wanaipata wataipata wapi? Kama hawana cash je hiyo crop assume ni mahindi, soko lake litatoka wapi wakati wao bado wanajipatia chakula shambani. Je kuna mpango mbadala wa kuhakikisha wanapata cash from elsewhere? Tayari umetengeneza crisis through economic displacment na immediate reaction ya commoners itakuwa mafisadi wamechukua "mashamba yetu" political problems tayari akitokea mpinzani tayari anawachukuwa walala puu wote mwisho wa siku kama una democracy unaondolewa kwenye nafasi, kama utatumia dolar uta underline their perceptions....Hapo nimefanya welfare analysis bila serious political economy modeling
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…