ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Achana na hao failures sio wa kuwasikiliza ni kuwapuuza tuu.Kiongozi watu ni wavivu WA kuelewa mbona WAZIRI ameeleza kila hatua ya huu mradi mpaka masoko watakavyouza? watu wanakalia ubishi hawataki kufuatilia mpango mkakati WA selikari katika kuliendea jambo hili
Mkuu Kirengase hapa tunajadi hoja ya mradi husika tena mradi mkubwa kwa ajili ya maendeleo ya Nchi na watu wake; nawe umeanza vizuri kutoa hoja juu ya mradi husika.. Aidha naona katika ya hoja mdadi umekupanda na kutoka nje ya mjadala; hakuna anayepinga/kuutusi mradi huu; isipokuwa wewe ambaye unawaona wachangiaji ni wapumbavu. Mkuu kumwita mchangiaji mwenzio mpumbavu haipendezi. Siamini kwamba upo kwenye foolish-age.Pinda ameweza kulima vizuri dodoma sasa vijana wakisaidiwa na serikali na mabenki washindwe kwanini?
Israel,China nawengine wameweza sisi kwanini tushindwe?
Kazi iendelee wanaopiga kelele niwajinga na hatuwezi kusumbuliwa na wazembe kadhaa
Mkuu chozizwa 2020 nilisema wajinga na wazembe sikutumia neno wapumbavu!Mkuu Kirengase hapa tunajadi hoja ya mradi husika tena mradi mkubwa kwa ajili ya maendeleo ya Nchi na watu wake; nawe umeanza vizuri kutoa hoja juu ya mradi husika.. Aidha naona katika ya hoja mdadi umekupanda na kutoka nje ya mjadala; hakuna anayepinga/kuutusi mradi huu; isipokuwa wewe ambaye unawaona wachangiaji ni wapumbavu. Mkuu kumwita mchangiaji mwenzio mpumbavu haipendezi. Siamini kwamba upo kwenye foolish-age.
Una maanisha serikali haijawahi kukosea kwenye miradi?Kwa akili zako nyingi,wote serikalini hawakuona Hilo mpaka kupeleka huo mradi dom!?
Pesa nyingi imetumika kwenye vitu ambavyo havitakua na impact kwenye hiyo program. Naona imekuwa fursa ya kupata pesa zaidiHii kitu inaweza kuwa Kilimo Kwanza nyingine, japo tofauti yake naiona kwenye utekelezaji wake, hii program naona imeenda hatua moja au mbili zaidi mbele;
- Nia imekuwepo [block farming zimeanzishwa] na
- Utekelezaji kivitendo unaonekana kuwepo [wahusika wameitwa kupatiwa mafunzo]
Tusubiri mwisho wake kama utakuwa na manufaa kiuchumi kwa vijana walengwa.
Mkuu kuna kitu nadhani hatukijui, hilo la serikali kununua mbegu au mbolea wanayotaka wao na kuwapelekea wakulima.. Ni vyema ifahamike kuwa mbegu (e.g Mkombozi)i le ile inaweza kufanya vizuri maemeo "A" na isifanye vizuri maeneo "B" hiyo ndio hali halisi. Hivyo sio busara kumng'ang'aniza mkulima kutumia mbegu ama mbolea aina moja Nchi mzima ati ni kwa sanbabu ni za ruzuku. Wangetoa ruzuku kwa mbolea zote, mbegu zote ili mkulima anunue kulingana na hali ya hewa na ardhi ya kwao.Ndugu ni MAUMIVU KILA KONA, kwenye miradi ya uvuvi pia wanatuletea ujinga wa namna hii. Boti, vizimba, vifaranga vya samaki na chakula cha samaki vyote vinanunuliwa na Wizara kisha kukabidhiwa kwa Wavuvi badala ya kutoa mikopo ya pesa kisha wavuvi wajinunulie wenyewe mahitaji.
Hizi GHOST PROJECTS ni kama ile miradi ya Mtoto wa Museven kule Uganda, hopeless kabisa
Hapana, hao wahusika watapatiwa mafunzo kwanza ya miezi mitatu, kisha baada ya hapo ndio wataingia shambani, watu hawaokotwi mtaani kama ulivyoandika.
Mkuu kweni Serikali imesema mara ngapi kuwa "tatizo la kukatikati umeme mwisho" Je imekwisha? Serikali ni sisi kwa ujumla wetu yaani mimi na wewe na wao, hivyo, haya majadiliano ni ya kuboresha kwa manufaa yetu sote.Kiongozi watu ni wavivu WA kuelewa mbona WAZIRI ameeleza kila hatua ya huu mradi mpaka masoko watakavyouza? watu wanakalia ubishi hawataki kufuatilia mpango mkakati WA selikari katika kuliendea jambo hili
Ningeshangaa sana endapo mapinga pinga yasingetokea!Huu mradi uko kisiasa zaidi.
Utakuwa kama ule wa Kilimo Kwanza
Ukulima wa watu wengi kwenye eneo moja kubwa sana, walilogawana kama vizimba linalikubali zao fulani moja na wote wakalima zao hiloMwenye uelewa wa hiyo block farming, aelezee japo kwa uchache...
Mkuu hata michango yangu kwa hoja humu ndani inadhihirisha mimi sipo kwenye "foolish age ".Mkuu chozizwa 2020 nilisema wajinga na wazembe sikutumia neno wapumbavu!
Lakini hatahivyo wapumbavu wanaopinga wapo na niwapumbavu kwelikweli wakae kwakutulia (kenya kilo ya unga ni 3600/-) ...
soma biblia neno pumbavu limetumika vizuri tuu bilashida.
Marekani wameendeleaaaa pia wanamaakili na kutukanwa mitusi mizito ni kawaida mmmno...wote wako foolish age? Or are you??
Hakuna maskini mstaarabu maana kuwa maskini tuu nikukosa ustaarabu!!
Usijeshangaa eneo likabakia tupu kwani vijana wa Sasa hivi wanataka za haraka haraka kama walivyo wengi kwenye shughuli hii ya kimasikini ya Bodaboda!Vijana wamesha pangiwa vituo vya kujifunza gharama zote za serikali. Kwa ubia wa NMB na other private sectors waki maliza ni mtelezo tu acheni wivu kwenye baadhi ya mambo..kufikia mwezi wa 8 mtakua mme pata feedback
Ukulima wa watu wengi kwenye eneo moja kubwa sana, walilogawana kama vizimba linalikubali zao fulani moja na wote wakalima zao hilo
Ni rahisi sana kuwawezesha wakulima wa aina hii ambao wapo pamoja, ni rahisi kudhibiti tatizo aidha maradhi kwa unafuu zaidi,kuliko wakulima waliotawanyika ovyo ovyo!Shukrani,
Je, serikali itawawezesha wakulima kwenye kila kitu au ushiriki wa serikali ukoje?
Kijana hujausoma mradi wala hujauelewa, unapeleka fikra zako kwa yasiyokuwepo.
Usome kisha urudi na uelewa. Kamanhuwezi kuusoma mradi basi japo itazame video ya uzinduzi utaoata idea ya mradi na utakuja na vitu vyenye mashiko (relevant).
Usiwe mvivu kusoma.
I think the idea was good lakini inapokuja kwenye planning of who is to do what where ndipo kuna changamoto. Huwezi kugawa ardhi kwa wengi lakini unaweza kugawa mapato kwa wengi...Hizi frameworks zipo duniani na kuna ambazo zimefanikiwa. Tatizo ni walioshiriki wanatumia common sense badala ya expertise ama hawana uelewa kabisa ya concept yenyewe...Kwanza kuanza new farms wakati zile old zipo ni utumiaji mbaya wa rasilimali ya ardhi na ni uharibifu wa mazingira ambao pia una long term effect kwenye program yenyewe.......Kisha kutumia pesa ya walipa kodi kwenda ku train wakati mtaani wapo kibao waliokuwa trained i.e vijana wenye vyeti vya kilimo kuanzia certificates mpaka PhDs na ambao wameshakaa kwenye kilimo na ambao wana hands on skills i.e vijana wakulima walioko rural, it means ni duplications tena isiyo na tija unaongeza competition badala ya kuwezesha hao waliopo, thats coordination failure tayari ...How do you improve farms that are already available bila ku add new ones lilitakiwa kuwa swali la kwanza this is two sector model issues ambayo ina shortcomings zake zilizotakiwa kuwa ironed out na kuwa mitigated na siyo ku assume ceteris peribus, how do you use these human resources bila kufanya economic displacements kuanzia wasio na skills, walio na skills hawana knowledge, walio na skills na knowledge lilikuwa swali la pili...etc etc...Welfare analysis zinasemaje maana kwa development yeyote lazima kuwe na losers na gainers between and amongst i.e kwenye producers na consumers who are these na how much is each category losing or gaining, what is net social welfare effects ukihusisha serikali kwenye hiyo function? I.e subsidies or taxes, how will the losers be compensated?Serikali haikushauriwa vizuri kwenye mradi wa BBT.
-Kwenye miaka ya70 Serikali ya TANU ilianzisha vijiji au mashamba kama hayo eneo Kibugumo,Gezaulole na Mwanamilato Dar es Salaam.
-Matokeo ya mradi ule, Serikali inafahamu,sijui Kama ulikuwa na tija.Tusije tukarudia makosa Yale.
-Sensa ya 2022-Watanzania tupo zaidi ya milioni 58, Kati ya hao asilimia 70 ni wakulima,
-Kwa mujibu wa Waziri wa kilimo, Serikali imepokea maombi zaidi ya 20,000 lakini imeamua kuanza na watu 800 tu,
-Kwa mwendo huu,ni lini waombaji wote watapatiwa mashamba
-Aidha Serikali imetumia rasilimali nyingi kwa Watu wachache (800) je tutafika?,
-wananchi/Vijana wengi wapo kwenye sekta ya kilimo miaka mingi lakini ni kilimo Cha jembe la mkono, hawajapewa support yoyote na Serikali yao pendwa ili waongeze tija.
Ushauri:
1). Serikali ipime mashamba ekari 10 na kugawa kwa vijana na kuwapa vitendea kazi vya kisasa.
2). Hizi fedha za walipa kodi zingetumika kununua matreka na kusambaza kila Kijiji trekta,harrow au combine havestor,ambazo zitakodishwa / kukopeshwa kwa wakulima.
3). Serikali itoe ajira na kuwapeleka extension officers kila Kijiji ili kutoa ushauri wa kilimo bora kwa wananchi wetu
4). Serikali iweke mkazo kwenye kilimo Cha umwagiliaji kwa kuanzisha irrigation schemes kwenye maeneo mbalimbali nchini .
5).Serikali itafute mikopo yenye riba ndogo kutoka taasisi za fedha za kimataifa (On landing loans) isiyozidi 6% kwa ajili ya shughuli za kilimo na mifugo/Uvuvi kwa wakulima/vijana.
6). Serikali ikaribishe sekta binafsi kuwekeza kwenye mashamba makubwa,yatakayotumika kama shamba darasa,kwa wakulima wetu wadogowadogo.
7). wakulima wadogowadogo/ vijana watumie hati za ardhi kuombea mikopo ya riba ndogo na kwa ajili ya kukodisha matreka kulimia mashamba yao na pembejeo.
Msomali ni MWIZI. Period!hizo ni ghost project ziatishia kwenye media tu lkn utekelezaji wake ni mgumu sana ni kama ilivyokuwa kwa vijiji vya ujamaa vilivyoanzishwa na hayati jkn.kilimo bila maji halafu utegemee mvua ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu.
Lengo ni kupata pesa(10%) Wala sio mradi kuleta manufaaI think the idea was good lakini inapokuja kwenye planning of who is to do what where ndipo kuna changamoto. Huwezi kugawa ardhi kwa wengi lakini unaweza kugawa mapato kwa wengi...Hizi frameworks zipo duniani na kuna ambazo zimefanikiwa. Tatizo ni walioshiriki wanatumia common sense badala ya expertise ama hawana uelewa kabisa ya concept yenyewe...Kwanza kuanza new farms wakati zile old zipo ni utumiaji mbaya wa rasilimali ya ardhi na ni uharibifu wa mazingira ambao pia una long term effect kwenye program yenyewe.......Kisha kutumia pesa ya walipa kodi kwenda ku train wakati mtaani wapo kibao waliokuwa trained i.e vijana wenye vyeti vya kilimo kuanzia certificates mpaka PhDs na ambao wameshakaa kwenye kilimo na ambao wana hands on skills i.e vijana wakulima walioko rural, it means ni duplications tena isiyo na tija unaongeza competition badala ya kuwezesha hao waliopo, thats coordination failure tayari ...How do you improve farms that are already available bila ku add new ones lilitakiwa kuwa swali la kwanza this is two sector model issues ambayo ina shortcomings zake zilizotakiwa kuwa ironed out na kuwa mitigated na siyo ku assume ceteris peribus, how do you use these human resources bila kufanya economic displacements kuanzia wasio na skills, walio na skills hawana knowledge, walio na skills na knowledge lilikuwa swali la pili...etc etc...Welfare analysis zinasemaje maana kwa development yeyote lazima kuwe na losers na gainers between and amongst i.e kwenye producers na consumers who are these na how much is each category losing or gaining, what is net social welfare effects ukihusisha serikali kwenye hiyo function? I.e subsidies or taxes, how will the losers be compensated?
Waziri anasema watatangaza tender ya investors who are these na je hiyo quota yao ipo protected within au ndiyo not protected je ikiwa captured na foreigners what will be the social net effect? Will it not be a means of capital flight, how?
Kuna issue ya international trade, je katika hiyo tutakuwa large country ama small, what will be the social welfare effects, kuanzia kwa producers wetu, consumers wetu na mwisho nchi yenyewe net effect ni ipi. How will trade be tutaenda kama block ama kama individuals, what are WTO effects kwetu kivipi na tutakabiliana nayo ki vipi? Tunategemea externalities nyingi tu, je trade policy yetu ita intervene ki vipi, imekuwa harmonized na hizi programs?
Hizi zote ni technical problems zinazohitaji modeling na simulations ambazo ukiuliza, nimejaribu kwa some wahusika wao randomly hakuna mwenye majibu zaidi ya common sense...
Then badala ya hizo kupata majibu kabla ya kwenda kwenye soko, wakazipeleka kabla ya synthesis, hatari wanayokutana nayo sasa ni hii political effects, losers wakiwa ni wale wenye influence Rais atashindwa kuhimili public cry na anaweza ku abandon the plan hasa kwakua kuna chaguzi karibu....