Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan Akishiri Kilele cha Kumbukizi ya 3 ya Urithi wa Benjamin William Mkapa katika Ukumbi wa JNICC Dar es Salaam, leo tarehe 31 Julai, 2024.
Rais Samia amesema Hayati Mkapa anakumbukwa sana kama baba wa mifumo, baba wa taasisi na baba wa mifumo. Haishangazi katika utawala wake taasisi nyingi zilianzishwa, aliingia madarakani kipindia mbacho UKIMWI ulikuwa umeshika kasi nchini, ambapo alianzisha TACAIDS, NHIF na mageuzi ya kimkakati Muhimbili yaliyozaa MOI kisha baada ya kutoka madarakani akaanzisha Benjamin Mkapa Foundation.
Alikuwa kiongozi mwenye ujasiri wa kukabiliana na mambo magumu.
Serikali inaridhika sana na inatambua mchango mkubwa unaotolewa na taasisi hii ya Benjamin Mkapa Foundation, ndani ya miaka 18 taasisi imesomesha watumishi wa afya watarajiwa na watumishi walioko kazini takribani 1,100 katika fani mbalimbali zikiwemo za matibabu, wauguzi wakunga n.k.
Pia, Rais Samia amesema Mioyo yetu imeendelea kuwa na kumbukumbu ya urithi wa maarifa na urathi yaani 'legacy', urathi wake katika mifumo ya uongozi wa nchi yetu, tunaendelea kuishi nayo hadi sasa