Rais Samia ashiriki kongamano la wanawake wa Kiislam Zanzibar, leo Julai 5, 2024

Rais Samia ashiriki kongamano la wanawake wa Kiislam Zanzibar, leo Julai 5, 2024

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ashiriki kongamano la Wanawake wa Kislamu Zanzibar, leo tarehe 05 Julai, 2024. Rais Samia ndie Mgeni Rasmi katika Kongamano hilo linalofanyika katika Hoteli ya Golden Tulip Zanzibar.

View: https://www.youtube.com/live/3FBIGjZevxI?si=LlaWAs8-qybfViIV

20240705_182953.jpg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Kongamano la Wanawake wa Kiislam Zanzibar katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip .

20240705_183114.jpg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia Washiriki wa Kongamano la Wanawake wa Kiislam Zanzibar kwa ajili ya kuadhimisha mwaka Mpya wa Kiislam. Kongamano hilo limefanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Zanzibar
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ashiriki kongamano la Wanawake wa Kislamu Zanzibar, leo tarehe 05 Julai, 2024. Rais Samia ndie Mgeni Rasmi katika Kongamano hilo linalofanyika katika Hoteli ya Golden Tulip Zanzibar.

Astakafilulah
Kongamano la wanawake wa kiislamu naona mwanaume anaonekana akihutubia hilo kongamano
Kulikoni?

Toba Yarabi tunusuru waja wako
 
Bwana Mahijabu hajafanya mambo yake yale?
Mujahiidina walisema mwanaume haruhusiwi kukaa kwenye wanakoswali wanawake

Sasa hapo ni kongamano la wanawake wa kiislamu watupu wanaume wamefuata nini hapo ? Na mwanaume anaongea huyo utafikiri kongamano la wanawake ni lake
Anatiririka aya akiwamwagia wanawake utafikiri wao hawajui wajibu wao
 
Wanaume wa kiislamu ni wazinzi sn hapo yupo sehemu sahihi
 
Methali mpya baraza la Kiswahili lingerie

''Mwanaume kuweko kwenye shughuli ya wanawake ni sawa na Mwanaume kuwepo kwenye shughuli ya kitchen party ya wanawake"

Wanaume kaeni mbali na shughuli za wanawake muwe mashehe,maimamu,mapadri ,wachungaji nk,au mashoga ya kiume

Waachieni wenyewe
 
Leo bodigadi yule nampendaga kaonekana aisee, nampenda sana huyu beautiful. Kafunga kichwani vzr
 
Back
Top Bottom