Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Ndugu zangu Watanzania,
Leo hii Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. katika kuonyesha na muendelezo wa Masikitiko yake,huzuni,uchungu,simanzi na Majonzi Ameweza kusimamisha kikao kazi kwa Dakika .
kwa ajili ya Kumuombea Dua Aliyekuwa Mbunge wa kigamboni na Mkurugenzi Mkuu Mteule wa shirika la Afya Duniani kanda ya Afrika Marehemu Dkt Faustine Ndugulile aliyefariki Dunia akiwa anaendelea kupatiwa matibabu Nchini India.
Ikumbukwe ya Kuwa Ni Rais Samia kwa ushawishi wake na heshima kubwa aliyojijengea Duniani kwote ndiyo iliwezesha na kufanikisha Marehemu Dkt Faustine Ndugulile kushinda nafasi hiyo nyeti ya ukurugenzi wa WHO kanda ya Afrika.kwa kuunda timu kabambe ya kumuombea kura za ndio.
Lakini pia Heshima ya Rais Samia aliyonayo Duniani kwote ilifanya Mataifa na wawakilishi mbalimbali kutoka mataifa mbalimbali kumpigia kura Marehemu Dkt Ndugulile hasa kwa kujua kuwa amepewa baraka na kupitishwa na Daktari Mama Samia kugombea nafasi hiyo.
Kwa hiyo ni Msiba ulio muumiza,kumsononesha na kumshitua sana Rais wetu Mpendwa.kwa sababu alikuwa anajua kuwa amemaliza kazi ya kuleta ushindi hapa Nchini na kazi iliyokuwa imebaki ilikuwa ni kwa Marehemu Dkt Faustine Ndugulile kwenda kuchapa kazi na kutuwakilisha vyema na kutuletea heshima na sifa nzuri kama Taifa na kutujengea kuendelea kuaminika zaidi katika nafasi za kimataifa.
Ndio Maana unaona watu mbalimbali wametoa pole sana kwa Familia,Bunge , watanzania pamoja na Rais wetu Mpendwa Mama Samia Daktari mwenye upendo, huruma,ukarimu, unyenyekevu na uzalendo wa dhati na wa hali ya juu sana kwa Taifa letu.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.